Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijal cha kwanza ujue hakuna mtu anaeweza kukupotezea mda kama ni utamu mliupata wote, kama bado unayafurahia mateso yake ujue bado unampenda ,hata mwingine akikuchukua jua tu ipo siku mwamba atachapiwa for sure 🤣🤣silalamiki ila najuta kwanza alinipotezea muda na nilishamdampo yeye sasa ndo anateseka nami nayafurahia mateso yake
😀Hutaki kua ticha wa Mizagamuano?Mwanamke mwenye umri huo ana bikira hata kama ni kweli mimi siwez na hata sitaman kuwa nae maana inaonekana hapendelei mizagamuo ina maana hata nikiwa nae atanisumbua tu na sitak kufundisha mtu mimi nataka kukutana na mtu mwenye full maujuz
wA hivyo unaweza kuta ni wagonjwa au hawana nguvu za kike
🤣🤣🤣🤣 sio sana, kidogo tu.Unaulizaga kwa nini wewe ni shindikanaa?😁😁
Abeee!Bikira Atoto.
Badooooo.🤣😄😄bikira ipi sasa wakat tayari
Fanya kunitumia namba yake ili nimfanyie utafiti wa kina (yaani ule wa induction) halafu nikifanikiwa kupata majibu sahihi, Inshallah nitakupa mrejesho.Habarini Wakuu
Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.
Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?
Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?
Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?
Inawezekanaje?
Usimuite tapeli boyfriend wako wa kwanza kwa sababu tu hakukuuoa.Inawezekana kabisa. inategemea ni mazingira yapi anaishi au malezi gani aliyopewa nakumbuka mimi nilikutana na mwanaume kwa mara ya namjua mwanaueme nilikuwa 26 na miezi yake. japo nilikutana na tapeli kama matepeli wengine. ila inawezekana kwa herufi kubwa.
Labda huyo ndio soul mate wako😁kwenye mataa ndugu yangu. alafu baadae ndoa yake ilivyovunjika linanitafuta tena paka lile
Ee zpo ambazo siyo og ni fakeYa kutengeneza kwani ipo
Hata kama ni wakawaida huyo ni mgonjwa atakusumbua,kisimi chake hakisimami😀Hutaki kua ticha wa Mizagamuano?
Ila ni wa kawaida, sio pc kali
Huyu ata nikikupa namba ni yule anaetoa block km akiona namba ngeni haijui. 😀😀anaonekana tuu haliki kimasiharaFanya kunitumia namba yake ili nimfanyie utafiti wa kina (yaani ule wa induction) halafu nikifanikiwa kupata majibu sahihi, Inshallah nitakupa mrejesho.
machozi niliyoliaga kwa ajili yake katu siwezi acha niendelee kuwa dunga embeLabda huyo ndio soul mate wako😁