Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Unapigwa mkuu.

Mwanamke 25+ siyo tu hana bikra, bali huyo tayari kishazaa mtoto ama alimchoropoa akamtupa chooni au yuko hai katunzwa kwa bibi yake.

Bikra aliyo nayo ni bandia (ya ndimu, mkojo wa tembo, shabu, n.k)
Yani ungekua ndo umewasiliana nae
Anajiamini mpk anaapa. 😄😄nikawaza apa shida ipo
 
Inawezekana kabisa. inategemea ni mazingira yapi anaishi au malezi gani aliyopewa nakumbuka mimi nilikutana na mwanaume kwa mara ya namjua mwanaueme nilikuwa 26 na miezi yake. japo nilikutana na tapeli kama matepeli wengine. ila inawezekana kwa herufi kubwa.
😍uko vizuri sana. Japo km ni mhenga inawezekana. Maisha ya maadili yalikuepo zamani kabla simu hazijaja mtaani. Pole kwa kutokupata mtu wa kwanza sahihi. Naamini sasaivi unaenjoy
 
Back
Top Bottom