Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
haha basi jambazi jitu unalipenda ambiliki lkn mwisho anauacha solemba yakiwashinda ndo mnakumbuka vipolo sio kweliUsimuite tapeli boyfriend wako wa kwanza kwa sababu tu hakukuuoa.
Mapenzi ya karne hii yamebadilika sana, kuwa na ma Ex ni kitu cha kawaida.