Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Habarini Wakuu

Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.

Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?

Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?

Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?

Inawezekanaje?
Inawezekana alikuwa anasubiri kuwa na mwanaume kama wewe,lakini usijifariji,kujua ni kitu kimoja na kumpata kuwa mke ni kitu kingine,maana kuna wimbi la kuzitoa halafu hamuoi,sasa hapo inawezekana umekutana na kisiki,owa upewe,ukileta janja janja humpati,maana mpka anafika umri huo bado bikra atakuwa kashakwepa mishale mingi sana ya waonjaji...
 
Mwanaume anaeoa bila kula tunda anatokea wapi
Nimefanya kumtania tuu kua km mpk sasaiv bado bas wewe ni mshamba. Kiuhalisia usishangae mtu wa kawaida tu akapiga kiutani utani
 
Ndio gear yao hyo mwanamke akianza mimi bikira sitoi mzigo mpaka unioe basi hapo ndio tamati yetu.
 
Habarini Wakuu

Katika maisha ya kila siku kuna marafiki wapya tunaokutana nao. Namaanisha rafiki sii zaidi ya hapo.
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.

Maswali ni mengi nikaona niulize jukwaani inawesekanaje kwa umri huo?

Kuna kitu hakipo sawa mentally?
Mantiki ya kuutunza huo ubikira ni ipi?

Kwa wanaume Ushakutana na bikira umri huo/kwa mwanamke ushawah kutunza bikira yako mpaka umri huo?

Inawezekanaje?
Ni kwa mienzi 6 mbaka 12 tu!😳
una maliza mkopo wako
kutoka Samsung mkopo unasubiri nini 🤷
 
Mwanamke mwenye umri huo ana bikira hata kama ni kweli mimi siwez na hata sitaman kuwa nae maana inaonekana hapendelei mizagamuo ina maana hata nikiwa nae atanisumbua tu na sitak kufundisha mtu mimi nataka kukutana na mtu mwenye full maujuz

wA hivyo unaweza kuta ni wagonjwa au hawana nguvu za kike
😂jaman khaa!
 
Back
Top Bottom