Mwanamke wastani wa miaka 25 hadi 29 bado ni Bikira

Uko sahihi kabisa kwamba sii lazima mtu kupigwa mambo
Lakini kuna umri huwez kua na maswali kwamba kwanini hajafanya mambo. Uzuri wewe umeongea point apo kua umeanza kutembeza mkuyenge mapema, sasa inakuaje yeye akaze mpk umri huo?

Angeenda kua sista tujue kimoja
 
Inawezekana ila mostly ni uongo as psychology says you can know the truth untill you have to go and find it out ,ila pia may be she don't see you attractive and see you so nice that's why she tell you that
Can't prove that
Btw why attraveness should be a concern regarding the matter
 
haha sikutoa rushwa ndugu yalikuwa ni mahusiano kama mengine ila ilikuwa long distance relationship. sikutoa rushwa nieleweke
Halafu kila mkikutana anakupa ela with mwengne anakupa bila hata kuo ana sasa hapo nani alieharibu maisha ya mwenzake
 
inategemeana na ntu, kuna Braza alioa mwanamke wa miaka 29 alikuta sild kabisa, kuna dada mmoja miaka 29 hiyo hiyo alikuwa sild, inategemeana na kujitunza kwa mwanamke kuna mwingine miaka 21 break p, unakutana na mtoto miaka 16 anakuambia mimi sio mtoto kaa mbali
 
Niambie basi je hutakaa umesahau ulie kubikiri?
Nilikuwa nashangaa kwanini muda wote huu unakomaa na hili jambo, now i get it…. Kumbe wewe haujamsahau?

No, we do not belong in the same whatsApp group sis. 🤡👋🏻
 

kuna sild za kutengenezwa.

ni ngumu sana mwanamke kufika 29 awe sield. sababu sex ni hitaji la kimwili kama chakula na maji vile. na huwezi kupingana na nature na ukaishinda nature.

ikitokea amefika hiyo age akiwa sield lazima atakuwa anasumbuliwa na magonjwa kama mental health yake, fibroids, na mengineyo
 
YA MUNGU MENGI HUWEZI JUA
 
Muulize unaweza kukuta ya Pua
 
Kuna mmoja nimeanza kuwasiliana nae kama wiki sasa, hajaniweka wazi umri wake sahihi lkn ni wastani wa miaka 25 mpaka 29. Anasema kwa ujasiri sana kua yeye bikira mpaka leo hii.
Siku hizi miaka 13 tu walishapanda baiskeli zamani, akikukaribisha huyo mkague back door kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…