Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

rOstam mtandao jumanne saa 3 usiku, polepole mzee wa subtitle jumatano saa 3 usiku

tIming nzuri sana, ni kuongeza bando tu
 
Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao wezesha wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi a.k.a kujizima data

Kuahirisha kufikiri kwa nafsi ni tabia ya mtu ambaye huenda unafahamu kwamba uwezo wake wa kufikiri hauna shaka na ana elimu ambayo inakubalika kimataifa lakini hufanya maamuzi ambayo hayalingani na elimu yake na hufanya hivyo kwa makusudi ili kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi

Vile vile ukiona mwaliimu wako anaahirisha kufikiri kwa nafsi usimshangae anatumika nafsi yake
 
rOstam mtandao jumanne saa 3 usiku, polepole mzee wa subtitle jumatano saa 3 usiku

tIming nzuri sana, ni kuongeza bando tu
Ila ameingia kwenye mfumo au Polepole alipata information kwamba Rostam atafanya mahojiano?
 
Leo tarehe 2 .9.2025 saa tatu usiku kupitia UTV ya azam mfanyabiashara na mbunge wa zamani Rostan Aziz atazungumza na taifa

Hapa anakuja kushusha nondo za kukaanga Polepole alie udanganya umma .

USSR
 
Huyu hakika ni mwizi tu; matajiri wa kweli hukaa mbali na kelele; nani amewahi kumsikia Dangote akigombana na raia wa Nigeria?
 
Jamaa ana hofu maana alikuwa anafanya ushenzi bila ya wananchi kumtambua sasa wananchi wameanza kumtambua yeye ni nani kwenye kulinajisi taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…