TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

RIP mwamba.

Aliwahi kuugua sana kipindi cha nyuma mpaka wakamzushia amededi. Mwamba akapona akaibuka na kibao kikali "Nachechemea"...
 
"Baada ya familia kuzoea nyumba

Nguzo nimeteteleka nyumba inayumba

Mi nateseka na maradh

Naumia mim kwa mawazo

Mi nateseka na maradh

Anaumia muuza Viat kwa mawazo

Sijui watoto wangu watakula nin"


Wanaume tumeumbwaaaaa

matesooo

mateso

Kuhangaika
 

Kwa huu wimbo natumaini alijiandaa na kifo.

Your browser is not able to play this audio.


R.I.P Hussein Jumbe
 
Kuna muda unaweza maisha nikitu Gani? Fumbo gumu sana na mtihani mzito kwetu wanadam.

Wimbo wa nachechemea una mashairi mazito yaliyoenda shule ya vidumu na Chelsea achana na hizi blu bendi na skuli basi
Kweli mkuu kuna nyimbo ukisiliza kwa mimi mwenye machozi ya karibu unajikuta unatoa machozi yaani kama amekuimbia hisia zinakuwa kali kuwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…