Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Mbele Yetu, Nyuma Yake; Sote Njia Yetu ni Moja.Dah! RIP mzee wa 'Nachechemea'...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbele Yetu, Nyuma Yake; Sote Njia Yetu ni Moja.Dah! RIP mzee wa 'Nachechemea'...
RIP mwamba.Mwanamuziki mkongwe Hussein Jumbe amefariki muda huu wakati akiendelea na matibabu katika Hospital ya Amana, Dar es Salaam.
===========
Updates
Mwanamuziki maarufu wa dansi, Hussein Jumbe amefariki dunia.
Jumbe aliyeitwa Mzee wa Dodo na Mtumishi aliwahi kupitia bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound, amefariki leo Jumatatu Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.
Habari ambazo Mwananchi zimetufikia hivi punde, Jumbe alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda mrefu. Mwanamuziki huyo mkongwe atakumbukwa kwa nyimbo nyingi alizozitunga baadhi zikiwa ni Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Isaya na Kiapo.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Twangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Binafsi Naipenda Orijino Kuliko iliyorudiwa.Wimbo wake wa mapenzi ya siri ndio ulirudiwa na Rayvanny. "RIP
Nachechemea Nuzulati uko wapii ooooooh nachechemeaaaa 🎤🎶🎶🎺🎷Haukukata tamaa ukajaribu tena
Mola akanijalia nikakushika bega🔊🎺🎤🎻🎷
DC aliharibu kwenye verse yakeBinafsi Naipenda Orijino Kuliko iliyorudiwa.
Haukukata tamaa ukajaribu tena
Mola akanijalia nikakushika bega🔊🎺🎤🎻🎷
"Baada ya familia kuzoea nyumbaMsiba mkubwa kwa wanamuziki wa dansi. Mwanamuziki maarufu wa dansi, Hussein Jumbe amefariki dunia leo Jumatatu Aprili 10, 2023.
Jumbe aliyeitwa Mzee wa Dodo na Mtumishi aliwahi kupitia bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound, amefariki leo Jumatatu Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.
Habari ambazo gazeti la Mwananchi limezipata ni kuwa Jumbe alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda mrefu. Mwanamuziki huyo mkongwe atakumbukwa kwa nyimbo nyingi alizozitunga baadhi zikiwa ni Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Isaya na Kiapo.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Twangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
View attachment 2583462
Dah nyimbo zinazo ishi🙌Nachechemeaaaaa
Verse ya Hovyo kabisaDC aliharibu kwenye verse yake
Dah nyimbo zinazo ishi🙌
Mwanamuziki mkongwe Hussein Jumbe amefariki muda huu wakati akiendelea na matibabu katika Hospital ya Amana, Dar es Salaam.
===========
Updates
Mwanamuziki maarufu wa dansi, Hussein Jumbe amefariki dunia.
Jumbe aliyeitwa Mzee wa Dodo na Mtumishi aliwahi kupitia bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound, amefariki leo Jumatatu Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.
Habari ambazo Mwananchi zimetufikia hivi punde, Jumbe alikuwa akisumbuliwa na kifua kwa muda mrefu. Mwanamuziki huyo mkongwe atakumbukwa kwa nyimbo nyingi alizozitunga baadhi zikiwa ni Nachechemea, Nani Kaiona Kesho, Isaya na Kiapo.
Msiba upo nyumbani kwa marehemu Twangoma Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Kweli mkuu kuna nyimbo ukisiliza kwa mimi mwenye machozi ya karibu unajikuta unatoa machozi yaani kama amekuimbia hisia zinakuwa kali kuwaza.Kuna muda unaweza maisha nikitu Gani? Fumbo gumu sana na mtihani mzito kwetu wanadam.
Wimbo wa nachechemea una mashairi mazito yaliyoenda shule ya vidumu na Chelsea achana na hizi blu bendi na skuli basi