binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
RIP, he was such a talent!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu ampe pumziko msanii mwenzangu
kifuaUgonjwa?
Umeambiwa mtu kafariki habari za ugonjwa zitakusaidia nini?Ugonjwa?
Siri ya nini,wimbo bora kwangu Mungu amlaze mahali anapostahiliHii ndio Taarifa iliyotufikia hivi punde , na kwamba Mzee Hussein Jumbe amefikwa na umauti katika Hospitali ya Amana Jijini Dar es Salaam leo 10/4/2023
Enzi za Uhai wake aliwahi kutumikia bendi za DDC MLIMANI PARK na MSONDO NGOMA
Aliwahi kutamba na Kibao chake cha "Nachechemea"
Apumzike kwa Amani .
---
Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika Hospitali ya Amana, alipokuwa akipatiwa Matibabu
Mzee Jumbe maarufu 'Mzee wa Dodo' alitamba kwa nyimbo kali alizowahi kuandika ikiwemo 'Nachechemea' na amewahi kuwa katika bendi za Tabora Jazz, Mara Jazz, Urafiki Jazz, DDC Mliman Park ‘Sikinde’ na TOT Band, Juwata Jazz na Mikumi Sound
View attachment 2583799
Wacha madharau kwa kazi za watuyaani maisha yako yote mpaka mauti yanakukuta mishe zako ni kazi miongoni mwa kazi za Shetani(muziki) dah !
eeh Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema [emoji120]
Hakikisha kila ukifanya Ngono utumie Condom UKIMWI upo. Kwa leo langu ni hili tu.Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii
View attachment 2583383
MafuaUgonjwa?