TANZIA Mwanamuziki Maunda Zorro afariki dunia kwa ajali ya gari, mazishi Jumamosi Aprili 16, 2022

Rest easy dada. Nakuombea Mizimu yetu waipokee roho yako!
"Eti nakuombea mizimu ikupokee" yani unamaanisha dada wa watu aende kuzimu, shindwaa kwa Jina la YESU
 
Walikuwa na mpango wa kubarikí ndóa, hata mahari alikua hajatolewa!?! Nimeióna mahali akisema mume wake! SO sad!
 
Huenda ana/alikuwa na udhuru wa Kisharia
 
Alikuwa na ziwa flan hiv amazing,

Kwa wale wa style pemdwa kwenye mambo yetu watanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…