Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Eti nakuombea mizimu ikupokee" yani unamaanisha dada wa watu aende kuzimu, shindwaa kwa Jina la YESURest easy dada. Nakuombea Mizimu yetu waipokee roho yako!
Alikuwa bar.Sijui kwanini watu wanakufa wakiwa wametoka kwenye msiba, kuna nguvu gani katika msiba?
R.I.P mrembo
Tuna haki ya ku challenge taarifa yako kuwa hao ni waongo, hawana tofauti na Sangoma kwa sasaMimi nimeleta taharifa na picha juu, angesema Sheikh Yahaya ungesadiki?
Na bange juu!Malori ya mchanga ni tatizo kubwa Sana ,pamoja na Yale ya kubeba mifugo , aisee haya madude ukikutana nayo stay away , alaf madereva wake always huwa wapo vifua wazi
na mi nitavuna nilichopanda so r.i.p zenu ni kama upumbavu flan umewajaa maana hazisaidi kwa chochoteSawa mkamilifu
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilijua watu kama wewe wenye viherehere lazima muwepo kipi kibaya hapo?
Acha ujuaji!!!!
Huenda ana/alikuwa na udhuru wa KishariaKuna mmoja ana uza duka hapa ogisi, basi nikaenda dukan kwake majira ya saa sabà ivchana ebana nikamkuta jamaa ana gonga ubweche na molten due 😃😃😃😃
Nikasema huyu kama angekuwepo pale Afrighanstan basi angewajua Taliban
Wee hapo ni siku yako ilikuwa haijafika, sio tena mambo ya gari ndogo or kubwa[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahaha jamaa alibadili dini kuwa muslim kisa demu sasa ana kumbana na mazilaHuenda ana/alikuwa na udhuru wa Kisharia
Nimecheka sanakumaAmayO
Ungemjuaje Sasa na mjini umekuja majuzi!?Ndio nimemjua leo kupitia hii thd,
R.I.P