Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe husikilizi hip hop so huwezi mfaham Og
So kasikilize taarab huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Muziki wa Kenya naujua toka enzi za OGOPA ambapo wasanii wa Bongo video kali walikua wanaenda kufanyia kenya watoto wa juzi hawayafahamu haya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli uko sawa. Unaifahamu muziki wa Kenya. Nimefurahi kujua kuna Mtanzania kama wewe.
 
Leo umeongea jambo zuri kuhusu Kenya. Sijui umekula nini leo.
 
Sio alumni, hakumaliza university wala hajaenda law school maana alipata deal la kuwa presenter MTV. Yupo njema upstairs kiukweli
Kama angesomea Tanzania angekuwa akili mgando.
 
stupid kenyans..

we made you create the hashtag playKEmusic..

Our musicians are played all over Kenya, they get paid more than Kunyans at their own land .

We are the kings of entertainment industry in E.A....

come with another sh*t...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu huyo jamaa ni popular sana kwenye hip hop zile ngumu. Sema hip hop ngumu haipendwi na wadau wengi na ndio maana unaona kama hawajulikani

Ila kiuwezo hamfikii niki mbishi hata kwa dawa
Sema tu ni vile huelewi kiingereza.
 
Umemaliza mkuu
 
Kwani Kenya Kuna msanii gani anayejulikana kimataifa (nje ya E.A)?
 
Ndio maana nilisema wengi wenu huwa hamna exposure, mnazungukia na kuishia hapo hapo Bongo. Hamjui chochote au lolote nje ya Mondi, Kiba na sijui akina wengine hao huko kwenu akina Amber Rutty...hehehehe
πŸ‘οΈπŸ˜πŸ˜πŸ˜ Amber rutty Ni that pornstar alikuea anachunishwa mboga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…