Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Of late shows za Bongo Artists zimepungua sana Kenya probably juu ya kina Ethic, Boondocks, Sailors na kina Ochunglo Family.
 
Kwa hiyo unataka kusema baba lao mond a.k.a osama mtoto wa Tandale,simba kapata mpinzani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Best rapper lakini waga anakuja bongo kufundishwa uandishi na niccas john machuche.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki wa Kenya naujua toka enzi za OGOPA ambapo wasanii wa Bongo video kali walikua wanaenda kufanyia kenya watoto wa juzi hawayafahamu haya.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi Ogopa deejays walienda wapi?

I remember some of my favorite Qeens in Music Avril and Amani, they once signed to that label...

Any Kenyan to answer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zako.

Usituhusishe wabongo wote, Sisi wengine tunawafahamu mpaka wa zamani kabisa wakina Erick Wainaina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma ipo Burundi?

BTW he was born in Dsm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigoma ipo Burundi?

BTW he was born in Dsm.

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wa Kigoma asili yao Burundi, ndio maana kila mkigombana nao mnapenda kuwakumbusha hilo, nimeona mara nyingi sana mkisema Zito Kabwe ni Mrundi hivyo aache kuzingua kwenye siasa, BTW kuna sehemu nilisoma kwmba mnataka kumpeleka Mondi akatwae hicho kiti cha Zito, kwamba tamasha ya juzi huko ilikua njia moja ya kuanza harakati.
 
Ukianza kutafuta asili, hata wewe unaweza kukuta sio Mkenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…