Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Mwanamuziki Mkenya awa bora kuzidi wote Afrika, apata tuzo

Nimekuambia mfananishe kaligraph na kadgo sio babu bomba

Kaligraph hata kwa dizasta anakaa
You're not serious my men.
Msanii anapimwa kwa mafanikio yake Dizasta vina hata tuzo za Sinza vinyago alishakuwa nominated?
Unju hata KTMA alishawahi kuwa nominated?
.
Khali anakuwa nominated Kenya every year na sasa ni duniani.
Mziki mzuri unauza tu haijalishi umeimba kwa lugha gani kama kweli anachokifanya Niki mbishi ni kikali kumzidi Khali mbona hafanikiwi kimziki sasa?
 
You're not serious my men.
Msanii anapimwa kwa mafanikio yake Dizasta vina hata tuzo za Sinza vinyago alishakuwa nominated?
Unju hata KTMA alishawahi kuwa nominated?
.
Khali anakuwa nominated Kenya every year na sasa ni duniani.
Mziki mzuri unauza tu haijalishi umeimba kwa lugha gani kama kweli anachokifanya Niki mbishi ni kikali kumzidi Khali mbona hafanikiwi kimziki sasa?
Unakosea sana, sio kidogo yani sana

Msanii mzuri anapimwa kwa mashairi sio tuzo mzee unafeli wapi??

Malle alishawahi kusema

"Kwenye huu mziki, wanasema kwamba eti hip hop hailipi/
Kipimo cha mcees sio tuzo, jenga misingi kabla ya kusimamisha nguzo, usikatae mafunzo/
Ukweli umefichwa ndani ya vitabu, wakali wa media kwa ma dj ni sub/"

Niki wapili utasema ni mkali kuliko mbishi kwasababu amewahi kupewa tuzo?

Hapa ndipo utaelewa kua mziki wa hip hop ngumu umewekewa figisu sana

Msikilize nash kwenye nyimbo yake ya maneno utaelewa changamoto wanazokumbana nazo wakipeleka ngoma redioni

Nakwambia huyo dizasta kimziki hapo kenya sijaona ila kama unam compare na kimafanikio basi hoja yako itakua na mashiko maana yake hata yeye alisema "mwana falsafa nisiyetaka kuandikwa vitabuni, napigana vita nikifa nazikwa na wahuni/

Weka lyrics hapa za kali ambazo wewe unazikubali namimi niweke hapa za dizasta tuone zipi zamoto
 
Unakosea sana, sio kidogo yani sana

Msanii mzuri anapimwa kwa mashairi sio tuzo mzee unafeli wapi??

Malle alishawahi kusema

"Kwenye huu mziki, wanasema kwamba eti hip hop hailipi/
Kipimo cha mcees sio tuzo, jenga misingi kabla ya kusimamisha nguzo, usikatae mafunzo/
Ukweli umefichwa ndani ya vitabu, wakali wa media kwa ma dj ni sub/"

Niki wapili utasema ni mkali kuliko mbishi kwasababu amewahi kupewa tuzo?

Hapa ndipo utaelewa kua mziki wa hip hop ngumu umewekewa figisu sana

Msikilize nash kwenye nyimbo yake ya maneno utaelewa changamoto wanazokumbana nazo wakipeleka ngoma redioni

Nakwambia huyo dizasta kimziki hapo kenya sijaona ila kama unam compare na kimafanikio basi hoja yako itakua na mashiko maana yake hata yeye alisema "mwana falsafa nisiyetaka kuandikwa vitabuni, napigana vita nikifa nazikwa na wahuni/

Weka lyrics hapa za kali ambazo wewe unazikubali namimi niweke hapa za dizasta tuone zipi zamoto
MICASA SUCASA LYRICS
[Intro: Khaligraph and Cashy]
Ay girl, it's been a minute since we kicked it
And it's about time they had to know who's the sickest
That's me- that's you
That's you- that's me
K-Jones be my name
And they call me Cashy
Right now itabidi uchill ndio mi ni-rhyme
I thought we was a team, now you don't want me to shine?
Nah, chill baby... I was just kidding though
You know I got your back whenever you're on, kill 'em Jones!
Oh, so you a ride or die chick?
On your side till death like a certified crip
And they can never touch you unless they wanna die quick
Nah, they never seen a beat getting murdered like this
Aiyo it's "Hell On Earth", who's next to gonna be first?
These rappers looking like a shawty with a cheap purse
Okay, so basically they need work, coz I be kicking most of them
And I can tell that's why your feet hurt
Nah, I'mma be okay mamacita
Now lemme hear you say my name mamacita
Papa Jones...
No games, mamacita
And if they wanna work let them pay for a feature
[Hook: Khaligraph and Cashy]
Aiyo, Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Buru, Kayole, West Madaraka
South B, Nairobi West to Langata
East mpaka Westie, micasa sucasa
Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Eldee, Bondo to Kitui- hapo sasa
Central na Western, pia washadata
No matter where you're from, your micasa sucasa
And just know this: if you believe
That mi ndio king and of course mi sirudilii
Na hawa ma-nigga walikuwa off sahii warudi leave
Chill na siasa, hii si CORD ama Jubilee
Okay, so you getting political now?
Somebody had to address these political clowns
You see, them citizens is waiting for a miracle now
That's enough... so let's get lyrical now
Check it, I'm a lyrical Picasso, ka ni muziki mi nafanyia umati
Wanafikiri ni vako, wapige tizi, hatupotezi wakati
Utanipata niki-hustle, piga ma-deal utadhani ni za mihadarati
Throne is mine, hao ni dakika mbili- ile design ya Bahati
Kama si sisi, basi ni nani
Basi ni nani kama si sisi
Hii ni mazishi na si utani
Na si utani, hii ni mazishiiii...!
Iz vipi tena, nimeamua kuwapeleka rat race
In that case, mi ntawapatia zile mistari they can't trace- fast pace
Hivo ndio vile mi huanga, so they can't trace
Move back, songa kidogo, manze, mi na-demand space!
Oh for real? I thought you was gon' pass the ball
But it's like you don't want me to rap at all
Oh no, nah baby, I ain't mean that ish
But on the real, I really doubt if you can spit that quick
I'm sick now, I get down, I run this town
Man I flow for six rounds, they love this sound
For a gig? Nothing less than 90 mill- Chris Brown
And when the queen talks, I suggest you sit down
This industry needs to be saved
I'm tired of seeing my people being treated this way
I mean why're we gassing up all these foreign acts;
And when a Kenyan does it well, then they call it wack?
It's obvious that they decided to fall off track
But they said hip-hop is dead- but we brought it back
Hold up, there's something I've been longing to say
To all the Kenyan DJ's saying:
"We got nothing to play
From the Kenyan market"
Why you gotta speak that way
If we support each other we gon' all eat that cake
[Hook: Khaligraph and Cashy]
Aiyo, Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Buru, Kayole, West Madaraka
South B, Nairobi West to Langata
East mpaka Westie, micasa sucasa
Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Eldee, Bondo to Kitui- hapo sasa
Central na Western, pia washadata
No matter where you're from, your micasa sucasa
[Outro]
Respect the G's, Respect the OG's...
Y'all already know Papa Jones up in the place...
With the beautiful Miss Cashy...
Good hip-hop music
Let it flow...
 
MICASA SUCASA LYRICS
[Intro: Khaligraph and Cashy]
Ay girl, it's been a minute since we kicked it
And it's about time they had to know who's the sickest
That's me- that's you
That's you- that's me
K-Jones be my name
And they call me Cashy
Right now itabidi uchill ndio mi ni-rhyme
I thought we was a team, now you don't want me to shine?
Nah, chill baby... I was just kidding though
You know I got your back whenever you're on, kill 'em Jones!
Oh, so you a ride or die chick?
On your side till death like a certified crip
And they can never touch you unless they wanna die quick
Nah, they never seen a beat getting murdered like this
Aiyo it's "Hell On Earth", who's next to gonna be first?
These rappers looking like a shawty with a cheap purse
Okay, so basically they need work, coz I be kicking most of them
And I can tell that's why your feet hurt
Nah, I'mma be okay mamacita
Now lemme hear you say my name mamacita
Papa Jones...
No games, mamacita
And if they wanna work let them pay for a feature
[Hook: Khaligraph and Cashy]
Aiyo, Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Buru, Kayole, West Madaraka
South B, Nairobi West to Langata
East mpaka Westie, micasa sucasa
Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Eldee, Bondo to Kitui- hapo sasa
Central na Western, pia washadata
No matter where you're from, your micasa sucasa
And just know this: if you believe
That mi ndio king and of course mi sirudilii
Na hawa ma-nigga walikuwa off sahii warudi leave
Chill na siasa, hii si CORD ama Jubilee
Okay, so you getting political now?
Somebody had to address these political clowns
You see, them citizens is waiting for a miracle now
That's enough... so let's get lyrical now
Check it, I'm a lyrical Picasso, ka ni muziki mi nafanyia umati
Wanafikiri ni vako, wapige tizi, hatupotezi wakati
Utanipata niki-hustle, piga ma-deal utadhani ni za mihadarati
Throne is mine, hao ni dakika mbili- ile design ya Bahati
Kama si sisi, basi ni nani
Basi ni nani kama si sisi
Hii ni mazishi na si utani
Na si utani, hii ni mazishiiii...!
Iz vipi tena, nimeamua kuwapeleka rat race
In that case, mi ntawapatia zile mistari they can't trace- fast pace
Hivo ndio vile mi huanga, so they can't trace
Move back, songa kidogo, manze, mi na-demand space!
Oh for real? I thought you was gon' pass the ball
But it's like you don't want me to rap at all
Oh no, nah baby, I ain't mean that ish
But on the real, I really doubt if you can spit that quick
I'm sick now, I get down, I run this town
Man I flow for six rounds, they love this sound
For a gig? Nothing less than 90 mill- Chris Brown
And when the queen talks, I suggest you sit down
This industry needs to be saved
I'm tired of seeing my people being treated this way
I mean why're we gassing up all these foreign acts;
And when a Kenyan does it well, then they call it wack?
It's obvious that they decided to fall off track
But they said hip-hop is dead- but we brought it back
Hold up, there's something I've been longing to say
To all the Kenyan DJ's saying:
"We got nothing to play
From the Kenyan market"
Why you gotta speak that way
If we support each other we gon' all eat that cake
[Hook: Khaligraph and Cashy]
Aiyo, Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Buru, Kayole, West Madaraka
South B, Nairobi West to Langata
East mpaka Westie, micasa sucasa
Nakuru, Naivasha, Kisumu, Mombasa
Eldee, Bondo to Kitui- hapo sasa
Central na Western, pia washadata
No matter where you're from, your micasa sucasa
[Outro]
Respect the G's, Respect the OG's...
Y'all already know Papa Jones up in the place...
With the beautiful Miss Cashy...
Good hip-hop music
Let it flow...
Hahahaha wack rapper

Hii mistari ndiyo nash alisema zimaaa

Nakupa lyrics kutoka kwa dizasta






Ah!
Nilipaa sasa natua
Kwenye/kwenye
Siri ya moyo
Na siri ya moyo
Anayeijua mwenye/
Mwenye ujasiri wa
Kutunza nafanya
Ninachodhani ni
Sahihi kitachotokea
Nitajua mbele

Wanasema mwanaharamu
Haijui laana/ kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama/ naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi’ ni chui mama

Kwa mfano nakuita mpenzi/
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi/
Kuitoa hii siri ndo' siwezi/
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi

Huwa nawaza nikuweke
Ufahamu/ mtambue
Kuwa mpo wengi
Na lengo niwateke
Kwa zamu/ niwaumize
Ili mpeleke salamu/
Masikini mrembo
Nashangaa jinsi unavo'ngoja
Pete kwa hamu

Vile hunioni kwenye
Makundi ya baa/
Na bahati nzuri haujawahi
Kusikia nikizushiwa uzushi
Kitaa/ nakununulia
Rubi kadhaa/ unahisi nakujali
Kumbe unampigia mbuzi gitaa

Sometimes unanisongea nguna/
Au wali ukidhani mi’ najali ilihali
Sina habari, sina hisia siwazi
Hata kukuonea huruma/
Na sibadili dhambi hata
Mbingu ikisogea nyuma

Ah!
Nashiriki nawe nyakati
Twitter mpaka instagram/
Picha unani-hashtag drunk in love/
Nanunua brand za gharama za
Hand bag/ perfume kali
Simu ya ghali breakfast
Zanzibar/

Haimaanishi kuwa
Tunaianza safari/
Nataka nikuandalie maumivu
Makali/ nahitaji nikuguse
Ili kila unachokiona
Kiwe kinafanya unikumbuke
Ni hatari

Inaitwa zuia nanga kabla
Bado haijang'oa/
Maana haujaheshimu
Mvua kama bado hujaloa/
Kwa huu mchango ninaotoa/
Ndo' unafanya unazama
Zaidi kiasi unaiwaza mipango
Ya ndoa

Jicho la tatu hauna
Fungua jicho lako la pili/
Utagundua kila ninachofanya
Kwako batili/ unanipenda mno
Ndo' maana haujaona bado
Dalili/ kuwa we sio wa kwanza
Wala haupo kwenye
Mpango wa pili
Ah!!

Unaniletea zawadi toka
Majuu/ kuna wenzio
Nilishawaacha
Na walinichora tattoo/
Mi sio tunda mama...
Mama mi' kidonda
Utachelewa kusonga
Ka' bado unaingoja nafuu

Sherehe ya birthday yako
Kwenye 'temple' ya anasa/
Umekuwa ’mental’ kwa
Huu mwendo ndo'
Umenasa/
Kiasi unahisi huu ni upendo
Na sasa/ hautambui kuwa
Tukishiriki tendo tu nakuacha

Kichwa changu hichi,kichwa
Changu kishajadili/ kwamba
Nitalala na wewe na
Wewe na haifiki jumapili/
Nitakuwa nimeshakuacha
Ah! utanitafuta
Kwenye simu ambayo
Namba nitakuwa nishaibadili

Utanitafuta mara mbili/
Mara tatu kisha nne
Utagundua kurudi
Sina dalili/ ngoja ngoja
Itang’ata moyo wako
Kikatili/ mja wa
Watu maumivu
Hukujiandaa kuyakabili

Utanipamba majina ya
Kikafili/ sitasikia maana
Nitakuwa mbali nishasafiri/
Nishasahau utatunga nahau
Kukanda mwili/ na huo
Wakati haukuwahi kuutabiri/
Ila upo

Utaumia utashindwa kusimulia/
Utaniulizia kwa wanaonijua
Watakwambia/ kwamba
Hauna tena chako
Okota vipande vya moyo wako
Nenda zako kaandike
Tanzia

Kisha watajua wenzio/
Wanafiki watacheka
Wanaokujali wataangua kilio/
Watakusindikiza kulia/
Watakupa pole wengine watasema
Tulikuambia/ kuwa
Wanaume wote mbwa!!

Taswira itazongwa
Na wingu/
Picha utazichoma
Kwa kisu/
Utanitukana mara mwana
Haramu mara malaya/
Rafiki zako wakuu watakuwa
Filamu na riwaya

Wimbo niliokuimbia
Kamwe hautokukonga/
Utachoma mkuki moyoni
Kisha kunyonga/
Utaendelea kungoja/
Utagundua mvumilivu
Hali mbivu hiyo
Methali iliongopa/
Utagundua ilikuwa
Ni soga/

Hii itafanya ukonde
Na kuanza/
Kutumia pombe na ganja/
Nayajua haya yote
Kwa maana ndo nilikotoka/
Utasimama kijasiri
Na mwisho utadondoka/
'sikiliza'

Wataleta daktari
Akuulize nini shida/
Hawatapata
Jawabu kabisa/
Wataleta sheikh
Wataleta mchungaji
Wa kanisa/
Watasahau kwamba
Moyo uliovunjika
Hauna tiba

Natamani nikuambie kuwa nimekuteka makusudi/ maana unasikia na hujifunzi/ nikuumize kama mke wangu mpuuzi/ aliyekimbia na rafiki yangu siku moja baada ya harusi

Nilishaambiwa na
Mama nikapuuzia/
Kuwa haujawahi
Kupenda kama
Haujawahi kulia/
Kuna muda mtu mbaya
Hutengwa na hatia/
Maana kafiri hazaliwi
Utengenezwa na dunia

Ukijiua sitakuona
Mzembe amini/
Nitakuvalisha pete
Ruksa uipeleke baharini/
Najua tiba ya
Upweke amini/
Mwisho wako ni
Kuwa kicheche kama
Mimi

Hapo utajua kunihukumu
Sio haki/
Mwanamke kama
Wewe ndio amenifanya
Niwe muasi/
Bila hofu wala
Kiwewe/
Nitaendelea kuzunguka
Kutafuta wasichana
Vipofu kama wewe

Sina hatia ..
 
Hahahaha wack rapper

Hii mistari ndiyo nash alisema zimaaa

Nakupa lyrics kutoka kwa dizasta






Ah!
Nilipaa sasa natua
Kwenye/kwenye
Siri ya moyo
Na siri ya moyo
Anayeijua mwenye/
Mwenye ujasiri wa
Kutunza nafanya
Ninachodhani ni
Sahihi kitachotokea
Nitajua mbele

Wanasema mwanaharamu
Haijui laana/ kashalaanika
Nasikitika kuwa haujui
Kama/ naonekana ka'
Kondoo kwa mchungaji
Lakini...lakini kwa ndani
Mi’ ni chui mama

Kwa mfano nakuita mpenzi/
Na tabasamu zuri wakati
Najua kuwa sikupendi/
Kuitoa hii siri ndo' siwezi/
Kwahiyo nitakudanganya
Mpaka ifike siku niutimize
Ushenzi

Huwa nawaza nikuweke
Ufahamu/ mtambue
Kuwa mpo wengi
Na lengo niwateke
Kwa zamu/ niwaumize
Ili mpeleke salamu/
Masikini mrembo
Nashangaa jinsi unavo'ngoja
Pete kwa hamu

Vile hunioni kwenye
Makundi ya baa/
Na bahati nzuri haujawahi
Kusikia nikizushiwa uzushi
Kitaa/ nakununulia
Rubi kadhaa/ unahisi nakujali
Kumbe unampigia mbuzi gitaa

Sometimes unanisongea nguna/
Au wali ukidhani mi’ najali ilihali
Sina habari, sina hisia siwazi
Hata kukuonea huruma/
Na sibadili dhambi hata
Mbingu ikisogea nyuma

Ah!
Nashiriki nawe nyakati
Twitter mpaka instagram/
Picha unani-hashtag drunk in love/
Nanunua brand za gharama za
Hand bag/ perfume kali
Simu ya ghali breakfast
Zanzibar/

Haimaanishi kuwa
Tunaianza safari/
Nataka nikuandalie maumivu
Makali/ nahitaji nikuguse
Ili kila unachokiona
Kiwe kinafanya unikumbuke
Ni hatari

Inaitwa zuia nanga kabla
Bado haijang'oa/
Maana haujaheshimu
Mvua kama bado hujaloa/
Kwa huu mchango ninaotoa/
Ndo' unafanya unazama
Zaidi kiasi unaiwaza mipango
Ya ndoa

Jicho la tatu hauna
Fungua jicho lako la pili/
Utagundua kila ninachofanya
Kwako batili/ unanipenda mno
Ndo' maana haujaona bado
Dalili/ kuwa we sio wa kwanza
Wala haupo kwenye
Mpango wa pili
Ah!!

Unaniletea zawadi toka
Majuu/ kuna wenzio
Nilishawaacha
Na walinichora tattoo/
Mi sio tunda mama...
Mama mi' kidonda
Utachelewa kusonga
Ka' bado unaingoja nafuu

Sherehe ya birthday yako
Kwenye 'temple' ya anasa/
Umekuwa ’mental’ kwa
Huu mwendo ndo'
Umenasa/
Kiasi unahisi huu ni upendo
Na sasa/ hautambui kuwa
Tukishiriki tendo tu nakuacha

Kichwa changu hichi,kichwa
Changu kishajadili/ kwamba
Nitalala na wewe na
Wewe na haifiki jumapili/
Nitakuwa nimeshakuacha
Ah! utanitafuta
Kwenye simu ambayo
Namba nitakuwa nishaibadili

Utanitafuta mara mbili/
Mara tatu kisha nne
Utagundua kurudi
Sina dalili/ ngoja ngoja
Itang’ata moyo wako
Kikatili/ mja wa
Watu maumivu
Hukujiandaa kuyakabili

Utanipamba majina ya
Kikafili/ sitasikia maana
Nitakuwa mbali nishasafiri/
Nishasahau utatunga nahau
Kukanda mwili/ na huo
Wakati haukuwahi kuutabiri/
Ila upo

Utaumia utashindwa kusimulia/
Utaniulizia kwa wanaonijua
Watakwambia/ kwamba
Hauna tena chako
Okota vipande vya moyo wako
Nenda zako kaandike
Tanzia

Kisha watajua wenzio/
Wanafiki watacheka
Wanaokujali wataangua kilio/
Watakusindikiza kulia/
Watakupa pole wengine watasema
Tulikuambia/ kuwa
Wanaume wote mbwa!!

Taswira itazongwa
Na wingu/
Picha utazichoma
Kwa kisu/
Utanitukana mara mwana
Haramu mara malaya/
Rafiki zako wakuu watakuwa
Filamu na riwaya

Wimbo niliokuimbia
Kamwe hautokukonga/
Utachoma mkuki moyoni
Kisha kunyonga/
Utaendelea kungoja/
Utagundua mvumilivu
Hali mbivu hiyo
Methali iliongopa/
Utagundua ilikuwa
Ni soga/

Hii itafanya ukonde
Na kuanza/
Kutumia pombe na ganja/
Nayajua haya yote
Kwa maana ndo nilikotoka/
Utasimama kijasiri
Na mwisho utadondoka/
'sikiliza'

Wataleta daktari
Akuulize nini shida/
Hawatapata
Jawabu kabisa/
Wataleta sheikh
Wataleta mchungaji
Wa kanisa/
Watasahau kwamba
Moyo uliovunjika
Hauna tiba

Natamani nikuambie kuwa nimekuteka makusudi/ maana unasikia na hujifunzi/ nikuumize kama mke wangu mpuuzi/ aliyekimbia na rafiki yangu siku moja baada ya harusi

Nilishaambiwa na
Mama nikapuuzia/
Kuwa haujawahi
Kupenda kama
Haujawahi kulia/
Kuna muda mtu mbaya
Hutengwa na hatia/
Maana kafiri hazaliwi
Utengenezwa na dunia

Ukijiua sitakuona
Mzembe amini/
Nitakuvalisha pete
Ruksa uipeleke baharini/
Najua tiba ya
Upweke amini/
Mwisho wako ni
Kuwa kicheche kama
Mimi

Hapo utajua kunihukumu
Sio haki/
Mwanamke kama
Wewe ndio amenifanya
Niwe muasi/
Bila hofu wala
Kiwewe/
Nitaendelea kuzunguka
Kutafuta wasichana
Vipofu kama wewe


Sina hatia ..
Jeessy!
Nakupa lyrics za Miti verse 1&2
.
Verse 1]
Nakuja kuichapa kwa kiti
As soon as I land in the city
Hiyo siku ata usivae hata panty
Juu nakuja na njaa ya fisi
As soon as nimefika Nairobi, airport n'takupiga ka-quickie
Then as soon as tufike kwa keja, I swear utajua ni mazishi
I'm coming to give you the tongue
'Cause baby you know you the one
I'm coming to lick it
And girl I'ma lick it and lick it until I’m done
I’m coming to give you the tongue
'Cause baby you know you the one
I’m coming to lick it
And girl am a lick it and lick it until you come
[Hook] X2
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga miti
I know you've been yearning for this
Juu sa imeshapita ka wiki (iyeeee!)
Najua kuna vile umeni-miss
Usijali, mambo itakuwa fiti
Nakuja kukupiga kiss
Nakuja kuguza matitiii!
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga miti
I know you've been yearning for this
Juu sa imeshapita ka wiki
Najua kuna vile umeni-miss
Usijali, mambo itakuwa fiti
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga mitiii!
[Verse 2]
Nimekuwa na ma-fantasies
Can't wait till nipande hiyo ndege
Nimechoka kupigwa na njeve
Nakuja kukupunguzia nyege
Huku Statoe madem ni kibao
Wananitamani, mpaka Walami
Wanani-offer punani
But mi nataka ile nimeacha nyumbani
(iyeeee!)
Nakuja tu-misbehave
Ka zile party za Masaku
Ju si wawili ’tuwachani kama Mathenge na Wahu
Usijali mi naisema hadharani
You a queen, si msichana fulani
Na pia naona ukiwa mama nani
Ju nakuja ka nimemwaga ndani (hehe)
Na usijiite mwanaume ka hujui kulamba
(Lamba, lamba, lamba)
Ju once ameonja kwengine utabaki kwa blunder (blunder, blunder)
Mi ni mkulima vile mi huwa nampanda
(panda, panda, panda)
And if my girl is sitting at the top then siwezi mind kuwa under
 
Sasa kwani khaligraph alishawahi kubadili flow?? Tokea namjua anaflow ileile yani tunaweza tukaweka beat moja refu akachana ngoma zake zote na tukajua ni verse moja refu tu
Hahaha itaje ngoma yoyote kalii ya Unju unayoikubali kisha nikutajie ngoma ya papa Jones moja ulinganishe kuanzia mashairi hafi melody na flow style
 
Sasa kwani khaligraph alishawahi kubadili flow?? Tokea namjua anaflow ileile yani tunaweza tukaweka beat moja refu akachana ngoma zake zote na tukajua ni verse moja refu tu
Bro... Let's give props where it's due.
 
With all due respect khaligraph is a 'good' rapper lakini unakuta Kwenye song yenye mistar 100 kuna bar 5 so hapo ni kama 5%
Kinachomfanya aonekane anajua ni ile flow yake ya kibabe na pumzi which makes people think that's hip hop lakn bongo apa namfananisha na wakazi
Props nampa kwa mafanikio aliyopata lakini ukweli kuhusu game yake siach kusema
Bro... Let's give props where it's due.
 
Nazani hiz bange zakuzaliwa nazo unajua Moshi ukikupata ukiwa tumboni unakuathir Zaid kuliko ukivuta mwenyew
Dah, yaani Kenya mpaka kwenye muziki tunatawala Afrika, hamna chochote ambacho tumeachwa nyuma, hii nchi tumebarikiwa kuwa na watu wanaojituma kwa kweli, tunatawala kiuchumi, kielimu, kijeshi n.k.

Sio mchezo! Hongera sana Khaligraph Jones.

======

Celebrated Kenyan rapper Khaligraph Jones emerged top in Africa beating all the other African rappers in his category during the just concluded Sound City MVP Awards in Nigeria.

Jones was crowned the best Hip Hop rapper on the continent beating other renowned artists such as Sarkodie from Ghana and Ricky Rick from South Africa.

Other artists who had been nominated in the category included BlaqBonez (Nigeria), Falz (Nigeria), Kwesta (South Africa), Medikal (Ghana) NyaShinski (Kenya) and Reminisce (Nigeria).

While accepting the award, Jones thanked his fans for supporting him throughout his career and reminded the attendees, in his typical fashion, that he was the best rapper in Africa.

Khaligraph Jones lies alongside the award he won in Nigeria on Saturday, January 11, 2020.

Khaligraph Jones lies alongside the award he won in Nigeria on Saturday, January 11, 2020
"I represent the 254 [Kenya] and East Africa. To some people, I know this is your first time seeing me and you are wondering who I am. I am the best rapper in Africa. The East has something to say," celebrated Jones to a beaming crowd.

Khaligraph bagged the award courtesy of his song Leave Me Alone which was released in June 2019 and has, so far, amassed up to 1.4 million views.

The awards were held at the Eko Convention Centre in Lagos, Nigeria on Saturday, January 11, 2020.

The annual event often looks to celebrate outstanding African artists that shaped the continent's music.

Throughout the event, Nigeria stood out as the country that bagged the highest number of awards as Burna Boy bagged his second successive win for African Artist of the Year.

Other winners at the awards show were Davido who was crowned Digital Artiste of the Year, Rexxie who won African Producer of the Year and Dope Nation from Ghana for Best Duo who were in the same category as Kenya's Ethic group.

Source: Kenyans.co.ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeessy!
Nakupa lyrics za Miti verse 1&2
.
Verse 1]
Nakuja kuichapa kwa kiti
As soon as I land in the city
Hiyo siku ata usivae hata panty
Juu nakuja na njaa ya fisi
As soon as nimefika Nairobi, airport n'takupiga ka-quickie
Then as soon as tufike kwa keja, I swear utajua ni mazishi
I'm coming to give you the tongue
'Cause baby you know you the one
I'm coming to lick it
And girl I'ma lick it and lick it until I’m done
I’m coming to give you the tongue
'Cause baby you know you the one
I’m coming to lick it
And girl am a lick it and lick it until you come
[Hook] X2
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga miti
I know you've been yearning for this
Juu sa imeshapita ka wiki (iyeeee!)
Najua kuna vile umeni-miss
Usijali, mambo itakuwa fiti
Nakuja kukupiga kiss
Nakuja kuguza matitiii!
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga miti
I know you've been yearning for this
Juu sa imeshapita ka wiki
Najua kuna vile umeni-miss
Usijali, mambo itakuwa fiti
Nakuja kukupiga stick
Nakuja kukupiga mitiii!
[Verse 2]
Nimekuwa na ma-fantasies
Can't wait till nipande hiyo ndege
Nimechoka kupigwa na njeve
Nakuja kukupunguzia nyege
Huku Statoe madem ni kibao
Wananitamani, mpaka Walami
Wanani-offer punani
But mi nataka ile nimeacha nyumbani
(iyeeee!)
Nakuja tu-misbehave
Ka zile party za Masaku
Ju si wawili ’tuwachani kama Mathenge na Wahu
Usijali mi naisema hadharani
You a queen, si msichana fulani
Na pia naona ukiwa mama nani
Ju nakuja ka nimemwaga ndani (hehe)
Na usijiite mwanaume ka hujui kulamba
(Lamba, lamba, lamba)
Ju once ameonja kwengine utabaki kwa blunder (blunder, blunder)
Mi ni mkulima vile mi huwa nampanda
(panda, panda, panda)
And if my girl is sitting at the top then siwezi mind kuwa under
Najivunia kulala na mkeo, nimevumilia sana na leo/

nimeamua kusema sijari kama utanikaba koromeo, utanivunja na kuniacha kimeo/

Kamwe sijutii katu, sijutii katu piga kelele jaza umati sihofii watu/

Nimekubuhu mpaka inafika hatua, nimefanya mtaa mzima unajua/

Na sifikirii ni rough...kwa mtindo zaidi ya saba, na maumbile nimejaliwa si haba/

Nilimpa raha kote kwenye gari na valanda, kama mfungwa aliyekutana na kahaba/

Ona mrume ndago bila kiwewe, kila ulipo safiri mi nilipiga misele/

Aliponiita niliitika kuzizima kelele, na nilipofika nilihakikisha anafika kilele/

Alinipeleka mbali kwa misemo moto moto hadithi njoo utamu kolea, ukihisi naongeza chumvi kwa maneno ya uongo ona alama ya meno kwenye mgongo halafu ngojea/

Ni hakika alinikumbuka kila mida, na aliponita niliibuka bila shida/

Alipopata swali aliniona mimi kwanza, akajiita jen nikajiita tarzan believe that/

Alifika na kukaza na kamba, aliweka mizizi ya kukata na panga/

Alichizika utasema mwehu, moyoni aliacha alama kama ronaldo alivyoacha alama bernabeau/

Nilikua siufahamu ugoni, aah kama kufumaniwa ni dhambi na nitapata adhabu motoni....nitaenda na tabasamu moyoni//

Labda wakati ni sasa nimerudi kuenzi nafasi, napenda uhakika silengi bahati/

Naomba ujue kua mkeo, mkeo hakupendi kwa dhati, kumlazimisha ni kumuenzi hayati/

Sasa kwanini usinipige na ulivyojifungia misuli, nivunje mbavu zangu labda utajiskia vizuri/

Fanya maamuzi sasa maana najitia kiburi, niue leo walimwengu watafukia kaburi/

Najiskia uchovu na miayo napiga, ulizia hizi nyayo na nyika/

Nimetoka mbali fanya maamuzi tuhitimishe kikao, maana mimi nina mishe kibao/

Mishe hata wewe unazo mishe unazo badili, fafanua eleza na uweke mifano isawili/

huo ubishi wakujikweza weka kando ukatili, leo ndio mwisho vina navunja ndoa yako batili/

Andika talaka ili tuondoke...maana maamuzi ni yako au chukua panga unichome/

Haukuitendea haki kura yako, kuchagua ndoa wakati sio jambo kubwa kwako....Utakapochukua wasaa utagundua ulimpa saa alipohitaji muda wako/

Anajua kua mkoa mbali unawatoto, anajua kuhusu vikao na safari za uongo/

anajua kuhusu kondomu ulizobana kwenye nguo, na meseji za wasichana wachuo/

Ulimkuta mwema ukamteka kiakili, ukamshawishi mpaka akakupa shehena ya mwili/

Akakupa moyo akihisi utaweka nadhiri, ukajisahau na ukamuonesha asili/ kwamba wewe ni mchafu tu

Kipi unaropoka lakini, ubaya ulipwa kwa ubaya unachokonda ni nini?

Mmoja ametupa na mwingine ameokota yamkini, aliyetupa ni wewe na niliyeokota ni mimi/

Ilikua nisababu ya msongo wa mawazo, na ndio maana uliona wife sio wamoto kama mwanzo/

Uliteseka kiasi ukahisi ndoa ni sumu, na nikachukua maamuzi magumu/

Dongo kwako nilimuokoa nikamvusha bahari, maana muungwana vitendo maneno hayata angusha jabari/

Siku mwili hautagusa sayari, utamkumbuka na utajifunza kujari/

Mpunga umeyumba umeanza kujishuku mzee, umerudi nyumbani baada ya kushindwa kumudu starehe/

Haukuwepo kwenye shida ilipofuzu tarehe, ulikimbia nilikuwepo mimi pekee/

Ngoja nikuudhi, unajua mwanao ananiita dady, nampeleka shule namrudisha nyumbani baada ya kazi?

Nalipa ada, ada usizoweza kutoa, mwanao amefikia balehe na nimemfunza kunyoa/

Nimemfunza ushairi,nimemfunza kufunga kamba za viatu, nimemfunza kufunga tai kisha kamba za viatu/

Nimemfunza kuhusu sheria zinaoongelewa bungeni, na nilienda kumtetea alipoonewa shuleni/

Una hoja yeyote devensively?, maana haujui kama wanalala ama wanaamka safely/

Hujui kuhusu family dinner,wemen days,bithdays zao hujui kuhusu anniversary/

Hujui maumivu aliyopata moyoni, hujui harufu ya chakula alichopasha jikoni/

Haujui kuhusu depression, maana mara mbili nimemkuta amejifunga kamba shingoni/

Nampenda yeye amenifanya nipate ishara, amenipa counselling amenifanya niache sigara/

Anajua chakula nikipendacho, timu niipendayo, kinywaji, anajua even my favorite color/

Wenzio tunatafuta familia ili tujenge, wewe yako ninini? Mkeo ameisaliti ndoa sababu yake ni upweke/...sababu yako ni nini?

You know what they say what goes around comes around men, yeah that's true so i wonder why you changed, you used to be a good man what happened to you?

Nakiri mbele za watu nilishiriki hii dhambi, uvungu wa moyo wangu unasema usaliti ni haki/

nyanyua kisu chako uniue ila naomba uelewe, sijaivunja ndoa yako umeivunja ndoa yako mwenyewe/



It's Scars
 
sawa kibwengo.
akili zako unazijua mwenyewe
Niukweli hata sisi humu tunaweza kutoa mistari mikali kuliko kaligraphy japo sio wasanii

Huyo kali ana bang kenya kwasababu hakuna wasanii ila angekuwepo hapa bongo angefichwa

It's Scars
 
Niukweli hata sisi humu tunaweza kutoa mistari mikali kuliko kaligraphy japo sio wasanii

Huyo kali ana bang kenya kwasababu hakuna wasanii ila angekuwepo hapa bongo angefichwa

It's Scars
do you know what they say about opinions?
 
Back
Top Bottom