TANZIA Mwanamuziki Mkongwe, Boniface Kikumbi Mwanza Mpango (King Kikii) amefariki dunia

Mamaaa zipooo mamaaa zipooooo - zipolaaa eeeee ; nainua mkono sheri eeeee - zipolaa mpenzi wanguuu..na kitambaaa cheupeee shushuuuu...mm na ww zipolaaa mamaaa eeee

Mwaka 2003 - 2004 nikiwa kijana nilicheza saana hii kitu pale officers mess masaki na wazee wa Mujini kina papi.

RIP.
 
Hakuna raha kama hii ya kuondoka duniani katika umri wa uzee. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema huko ilipo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…