Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

It a horrible way to end his life in this world

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyu long time alikuwaga na skendo ya kugegeda watoto wadogo
Kuna watu ni kama wana addiction ya kutembea na watoto wadogo hata huku kwetu wapo
Any way ndiyo hivyo tena umaarufu umemchangia

Ova
 
Hiyo issue ya Aaliyah jamaa hakuwa na utetezi kabisa, jela ni haki yake.
Hata Mimi nilihofia issue ya Aliyaah maana ni ngumu. Alifoji vyeti ili amuoe na alikuwa kama ana miaka kama 14 au 16
Na bado sex tape iliyovuja 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️

Jamaa wamemmaliza Ila sitoacha kusikiliza nyimbo alizoimba na alizoandika. He was a genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…