Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

If he could turn back the hands of time [emoji3][emoji3][emoji3]
When woman loves[emoji848][emoji848]

Sema nini badae watampunguzia miaka tu

Si unaona Babu Bill Cosby nae alibaka akafungwa maisha badae kakaa zake miaka miwili akaachiwa[emoji848][emoji1745]


Naogopa asijiue asee mzee wa LONGEST TONE in the world
 
I believe i can touch the sky.

I think about it every night and day.

Damn R.Kelly what happened my nicca!!! Damn hats ukipotea tutakukumba u inspired us through your music

Dammit!!
We acha tu...Kuna wimbo wake mmoja unatwa "THE BACKYARD PARTY sijui nimeupatia amejaza hao Malaya kwake Chicago, nasikia ndo wamemponza!

Ila jamaa he's king of RnB no matter what[emoji26][emoji26]
 
Mkuu kwenye kubaka hapo sijakuelewa [emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji1745]

Hao Malaya si wazazi wao waliwaleta kwake? Kwani Walilazimishwa?

Kuhusu kuangalia images za watoto wakiwa uchi bila kuwafanyia vibaya shida iko wapi?

Halafu hizi kesi kwa blacks zinafanana sana recall MJ na case zake za molestation wakati hata jamaa alikuwa hadindishi[emoji1745][emoji849]...badae wanasema hana hatia while too late wamempa depression ya kufa mtu , hatimae akafa...

Hata hii ya R.Kelly lazima kuna madudu tu , hii case haijanyooka
 
Eti hajui kusoma wala kuandika hapo ndo nachoka mimi [emoji3166][emoji3166]
 
Ukiwazingua freemason ni lazima wakuzingue.tupac,BIG small, michael jackson,dmx,left eye,kobe bryant,bob marley,and moore.
Hela ya shetani haiendi bure.
Yaan kuwazingua? Ugomvi wao ninini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…