Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Staa wa Pop Selena Gomez '26' amelazwa kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili baada ya kupata matatizo ya AKILI Na Msongo Wa Mawazo.

Selena alilazwa hospitalini mara mbili wiki mbili zilizopita, matatizo haya yanachangiwa na hali yake ya afya baada ya kufanyiwa upasuaji wa Figo.

Madaktari wanasema sababu za kupelekwa moja kwa moja kwenye kitengo cha matibabu ya Akili ni baada ya Selena kuchomoa mirija ya Drip akiwa kitandani huku akionyesha dalili za kutotaka matibabu na kuhatarisha

maisha yake.
 
Acha ujinga wewe, labda huko uliko na uzembe wako!
Tanzania we have the best mental disorders hospital walahi
Tembea utoe matongotongo walahi




πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huyo itakua ni wale vijana wa kile chama cha pale kinondoni kilichopo mtaaa wa jina la kabila moja la kule nyanda za juu kusini ....... ukute anakaa kwa shemeji yake 😎😎
 
Bongo tunakua wa mwisho kwa nchi zenye furaha lakini hakuna aliyewahi kua chizi kisa stress sisi ni bangi na ugumu wa maisha ndiyo vinatufikisha huko.

Now pass the joint.
 
Maskini ka dada ka watu, hata kalivyovaa hapo kwenye picha kanaonekana ugonjwa ulikuwa umeanza kukanyemelea kwa mbali
Hahahaha sasa siku mwanao anarudi nyumbani kavaa hivyo kisa alimuona Selena akapenda alivyovaa sijui utamfanyeje.
 
Hahahaha sasa siku mwanao anarudi nyumbani kavaa hivyo kisa alimuona Selena akapenda alivyovaa sijui utamfanyeje.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mungu apishie mbali, naweza kumpiga hata na mwiko wa kusongea ugali. hahahahahah
 
Maskini ka dada ka watu, hata kalivyovaa hapo kwenye picha kanaonekana ugonjwa ulikuwa umeanza kukanyemelea kwa mbali
hakuna uwiano wowote na mavazi..hizo ni swagga tu on stage as mwanamuziki..
vanessa mdee anavovaa nae ni mgonjwa wa akili?
 
Haka ni katoto au kamtu kazima maana sielewi usoni katoto miguu ina vigimbi?
 
Aje tumpige gegedo stress zote zitakata...sio kumpotezea muda huko hospitali ya vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…