Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Staa wa Pop Selena Gomez '26' amelazwa kwenye hospitali ya wagonjwa wa akili baada ya kupata matatizo ya AKILI Na Msongo Wa Mawazo.
Selena alilazwa hospitalini mara mbili wiki mbili zilizopita, matatizo haya yanachangiwa na hali yake ya afya baada ya kufanyiwa upasuaji wa Figo.
Madaktari wanasema sababu za kupelekwa moja kwa moja kwenye kitengo cha matibabu ya Akili ni baada ya Selena kuchomoa mirija ya Drip akiwa kitandani huku akionyesha dalili za kutotaka matibabu na kuhatarisha
maisha yake.