Mwanamuziki Selena Gomez alazwa hospital ya wagonjwa wa akili

Nadhan amemaanisha vingine ila hamjamuelewa kuna ugonjwa wa akili na msongo wa mawazo. Huku sidhan kama kuna hao madokta bingwa wa kutibu msongo wa mawazo kwa akina sie tusio na pesa ndefu.
Hata huku vitengo vya magonjwa ya akili vipo mkuu....niwew kuwaona tu
labda huko uliko!
Tanzania we have the best mental disorders hospital walahi
Tembea utoe matongotongo walahi
Nyumbani kwanza , atakua haijui milembe huyu walahi
That's all
Mkuu acha kukurupuka basi uliza kabla ya kutoa hizo kashfa.
 
Indeed walahi
 
My dear walahi sisemi uwongo kina doctor mbatia, kilonzo na wengine wengi sana sana wamejaa pale muhimbili walahi
Kwa kweli nakwambia hakuna kitu utakacho kosa hapa duniani kama uki focus, ubaya wa watu wengi wamejaa kukata tamaa na kujidharau , wazee wengi haswa kwenye kile kituo cha Kigamboni wanapata hiyo huduma bila matatizo walahi
 
Msongo wa mawazo yaan depression ni moja ya magonjwa ya akili ,kwahyo wataalamu wake wapo sana tu labda kama hujaamua kuwaona ....tena gharama n za kawaida ni za kama magonjwa mengne tu
 
huku home watu wamedata...kuna mzee Anaendeshaga gari halafu yuko peku..
 
hakuna uwiano wowote na mavazi..hizo ni swagga tu on stage as mwanamuziki..
vanessa mdee anavovaa nae ni mgonjwa wa akili?
Anakwambia mama nimempata mchumba" .. ni msanii wa bongo flavor .. anaitwa Nay wa mitego
 
Kwa mwonekano wa haraka alianza kuumwa siku nyingi Ila umaarufu ulimficha...
Angalia style ya nywele
Angalia sketi
Angalia viatu
Angalia pose
 
I agreed with you wallah
 
Mazafanta kbss,
Kama huyu boss wangu kila siku anataka ajiue na benki ana zaidi ya dola mil2..yaani tunakaa nae tunalewaaaa mwisho anataka kujiua,,,asee mi nna hiyo kimango benki naenda kisiwa cha malta huko nakula bata nikirudi nakuwa na ham ya kuishi tena
 
Selena hanaga bahati na mapenzi...mdada mzuri lkn wanaume wanambwaga kama hawana akili nzuri!..JB anaenda kuoa kituko eti lazima adate!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…