Kwa mwonekano wa haraka alianza kuumwa siku nyingi Ila umaarufu ulimficha...
Angalia style ya nywele
Angalia sketi
Angalia viatu
Angalia pose
Kapigwa kipapai cha west Africa...wazungu wachawi sanaAlikua anasumbuliwa na figo ,rafiki wa karibu akajitolea kumpa figo,nadhani mawazo mengi na hali ya ugonjwa ilikua inamsumbua kabla na baada ya opateshen. Daah binti mdogo ana hela ila sasa matatizo yamemuandama sana
Mazafanta kbss,
Kama huyu boss wangu kila siku anataka ajiue na benki ana zaidi ya dola mil2..yaani tunakaa nae tunalewaaaa mwisho anataka kujiua,,,asee mi nna hiyo kimango benki naenda kisiwa cha malta huko nakula bata nikirudi nakuwa na ham ya kuishi tena
Pole Selena Gomez hujafa hujaumbika,Kabla hujafa silimu Ingia kwenye Uislamu Dini sahihi Ulimwenguni kote,Inshaallah utapona. View attachment 894666
Hailey Baldwin hafikii hata robo kwa uzuri wa Selena asee!.... The lady snatch her life soul partner lazima adate na anaweza hata kufa!....Selena anampenda JB kufaaa[emoji22] [emoji22] ...namuonea hurumaana stress JB Kaoa
Anaumwa mapenziGet Well Soon S.G
Hailey Baldwin hafikii hata robo kwa uzuri wa Selena asee!.... The lady snatch her life soul partner lazima adate na anaweza hata kufa!....Selena anampenda JB kufaaa[emoji22] [emoji22] ...namuonea huruma
Nfyuuuu na weweKama haikuhusu toa vumbi lako hapa mfyuuuuuu
Numbi, SG alianzaga kudata zamani toka kumwagwa na JB...figo na maradhi mengine ni kawaida kwa mwanadamu lkn kudata zaidi kumetokana na huyo huyo JBHamna bana binti anaumwa usicheze na figo maumivu makali sana. Na masharti yake baada ya kupona inaonekana hapo ndo panamshinda
Hi baby!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mxiiiewwww
Unachoshangaa?Watu aina yako mnashangazaga sana. Dogo kuna jamaa muislam kabisa msimamo wa maana na bado anaumwa. Dini ni imani yako tu. Mengine tuwaachiege wataalamu
Sorry mkuu ,JB ndo nan?Hailey Baldwin hafikii hata robo kwa uzuri wa Selena asee!.... The lady snatch her life soul partner lazima adate na anaweza hata kufa!....Selena anampenda JB kufaaa[emoji22] [emoji22] ...namuonea huruma
Justin Bieber mkuuSorry mkuu ,JB ndo nan?
Serena wiliamsTs only serena gossiping here
Ahh sawa mkuu,nimekumbukaJustin Bieber mkuu
[emoji23] [emoji23] haaahaaaSerena wiliams