The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
.com hawawezi kumjua huyu.Loh! Nimekumbuka hii nyimbo yake...kitambo sana
Apumzike kwa amani
View: https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?feature=shared
Ile ding anamwaga sufuria la ugali.Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Mimi zamani nilikua najua Mandonjo na Domokaya ni ndugu wa damu! Hawa jamaa walikua na urafiki wa kweli kabisa,hakuna bifu wala nini,pia nyimbo zao licha ya kuburudisha,pia zilikua na mafundisho mazuri sana,Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Kama dingi naikubali sanaMimi zamani nilikua najua Mandonjo na Domokaya ni ndugu wa damu! Hawa jamaa walikua na urafiki wa kweli kabisa,hakuna bifu wala nini,pia nyimbo zao licha ya kuburudisha,pia zilikua na mafundisho mazuri sana,
Rest easy Legendary.
Jamani! Pumzika kwa amani bro.
Hata hiyo nyimbo wanajua ni mpya.
.com hawawezi kumjua huyu.
Mkuu,kwa kifo cha Mandonjo ni cha kuuawa?
View: https://youtu.be/_0xGY0FllGE?si=jBR-YxS9VzeFwdHo
Feel the Track.
Dodoma matukio ya kuuana ni mengi sana unreported.
Wiki iliyopita vijana watatu wamefariki kifo cha ajabu wakiwa ni MaDJ kwenye music wa kifamilia Mkesha wa Harusi kule Mlowa Mvumi Wilaya ya Chamwino.
Mkuu, mara ya kwanza kuuona huu wimbo nililia pale dingi alipojinyonga. Ni miaka kingi imepita lakini bado huu ni wimbo wangu bora kabisa.
View: https://youtu.be/_0xGY0FllGE?si=jBR-YxS9VzeFwdHo
Feel the Track.
Dodoma matukio ya kuuana ni mengi sana unreported.
Wiki iliyopita vijana watatu wamefariki kifo cha ajabu wakiwa ni MaDJ kwenye music wa kifamilia Mkesha wa Harusi kule Mlowa Mvumi Wilaya ya Chamwino.
Mkuu kwani kifo cha Mandonjo chanzo ni nini?Kuna haja ya hawa watu wenye hasira kali kuchukuliwa hatua za kisheria...
Mijini ndo watu hawana utu sometimes unaandikaga kimakengezaHuko mikoani sio salama Sana watu wapo immature, b'cozb most of peoples are heartless
Wohiii jamaa tupo naye kkoo huyo 😭😭😭
Pole sana Dear.Wohiii jamaa tupo naye kkoo huyo 😭😭😭
Nyie mandojo jamaaniii