TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

TANZIA Mwanamuziki wa Bongo fleva Mandojo afariki Dunia

Huwa nawachanganyaga hawa jamaa mandogo namuita domo kaya, domokaya namwita mandojo .. kama wiki nyuma nmemuona Domokaya tbc akakumbushia ngoma zao kuna ile ya dingi naikubali sana..
Apumzike kwa amani🥺 kifo cha kusikitisha sana
Mimi zamani nilikua najua Mandonjo na Domokaya ni ndugu wa damu! Hawa jamaa walikua na urafiki wa kweli kabisa,hakuna bifu wala nini,pia nyimbo zao licha ya kuburudisha,pia zilikua na mafundisho mazuri sana,

Rest easy Legendary.
 

View: https://youtu.be/_0xGY0FllGE?si=jBR-YxS9VzeFwdHo

Feel the Track.

Dodoma matukio ya kuuana ni mengi sana unreported.

Wiki iliyopita vijana watatu wamefariki kifo cha ajabu wakiwa ni MaDJ kwenye music wa kifamilia Mkesha wa Harusi kule Mlowa Mvumi Wilaya ya Chamwino.

Mkuu, mara ya kwanza kuuona huu wimbo nililia pale dingi alipojinyonga. Ni miaka kingi imepita lakini bado huu ni wimbo wangu bora kabisa.

Juzi kati hapa alikuja kufanya kolabo na yule mtoto wa Gadner, Malkia Karen niliupenda pia.

Apumzike pema.
 
Back
Top Bottom