Mwanamuziki wa kitanzania Aslay aanguka jukwaani Kisumu, Kenya

kahaba housemaid la kikenya lina monitor kila ninacho andika hapa jf.

liko pre-occupied na post zangu...nali keep busy.

moral of the story is, ukiona mtu anakufatilia sana basi ujue wewe ni celebrity wake.
Free wifi za waarabu zinawapa muwasho hao mabeki 3
 
Free wifi za waarabu zinawapa muwasho hao mabeki 3
hahahaha... wengi wa hawa housemaid wa kikenya wanafanya kazi katika mazingira hatarishi na kandamizi katika nchi za middle east.
 
Can you prove that among 2.2 million followers there are Kenyans? Do you know some celebrities have over 100M followers yet remain unknown here?
 
Mnajua kujitetea nyie, kwamba hamna roho mbaya au?
 
Can you prove that among 2.2 million followers there are Kenyans? Do you know some celebrities have over 100M followers yet remain unknown here?
asante kwa kuandika post ya kijinga.
 
kwa kenya katika hili chochote kinawezekana..... acha kumsingizia shetani.
Ulicho kisema hapa kina ukweli 100% kuna grup flani la kenya la fb yaani wanalaumu sana kwanini wasanii wa Tanzania wanapewa support kenya kuliko wanamziki Under graund wa kenya

Wasanii wa Tanzania wanapo enda kenya kufanya event wawe makini sani, kuna vita ya chini kwa chini, siku tutapoteza wasanii wa Tanzania
 
Blah blah nyingi zilizojaa siasa,wanamuziki wetu wanafanya sana shows Kenya na mbona huwa hakuwi na sabotage?
 
Basi waambie wasikuje. Wanatumia ushirikina ili wafahamike/watajirike.Hivi majuzi kuna mwanamuziki Fulani bongo alizika mbuzi weupe wanne wakiwa uhai. Msituambukize uchawi. Kaeni huko huko
Pole sana demu wa mwanamuziki wa bongo aliezika mbuzi wanne weupe wakiwa hai
 

Signature yako sijaielewa, halafu hawa wasanii wenu mnaowalilia siku wakianza kuhujumiwa sijui ndio mtaomboleza au vipi, mnalazimishia na kusukumizia, kwa sasa Wakenya huwa hawana haja na shughuli zenu huku pamoja na kwamba kutwa hamkomi kuhujumu kila kinachotuhusu na kutusema vibaya tangu chuki mliyolishwa na Nyerere, bila ya Mkenya yeyote kujibu mapigo.
 
Kumbe hamjajibu.....hata sisi hatujaanza
 
Generally you can't beat me in anything, but you're useless.
damn right, last time i checked you beat me/us in having sexual intercourse with animals. i can show you recent incidents if may try to deny.
 
shukrani sana comrade kwa kueleza ukweli.

kama ikiwezekana chukua screenshot za hayo majadiliano yao halafu upload hapa jf ili tuufahamishe umma wa watanzania kuhusu hatari iliyopo kwa wanamziki wetu waendapo kenya kufanya show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…