Mwananchi: Aliyemtishia Nape bastola ni miongoni mwa wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara Mtwara

Mama amfukuze kazi huyu kenge Zirro kabisa na kama kuna video au habari yakusema huyo askari alikimbia na siyo polisi Tena yaani na afunguliwe mashtaka
 
Timu Bi Tozo utawajua tu.

Na vijawana watano waliopotea hadi leo?.

Na yule mfanya biashara wa madini aliyekufa kituo cha polisi kule Mtwara, na yule kijana aliye pigwa risasi na policy?

Au wewe hayo huyaoni?. Acha hizo.
Tukio la polisi kumyang'anya madini na kumuua mfanya biashara ni tukio la uozo wa Polisi Tanzania.

Mwendazake alikuwa anamiliki mwenyewe kikundi cha WASIOJULIKANA ambacho kiongizi wake alikuwa Paul Makonda na Ruchard Makungu Musalika, RAS wa Tabora kwa sasa.

Usimhusishe Rais Samia na vitendo viovu, yeye ni msimamia haki tu
 
Mzimu wa marehemu unakusumbua.
 
Yule aliyemng'oa meno Ulimboka au kumuua Mwangosi hakuharibu nchi?
 
View attachment 2113028

Huyu wa kulia ndiye aliyemtisha Nape Nnauye kwa bastola hadharani mchana kweupe kwa jeuri ya JPM! Muwe mnajiongeza. Hawa watawala mnaowatetea kwa gharama yoyote wanapita.

Mkuuu hebu twambie kati ya wale Saba waliopanda kizimbani leo huyu anaitwa nani?
Mkuu tusaidie
Ikumbukwe kwamba huyu mlimtaja jina aliyemtushia Nape bastola humu hebu twambieni anaitwa nani kati ya wale saba ! Au ana majina mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…