Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Tutaamini vp na hivyo vyombo vya nje au hapa tunachagua wa kumuamini na si kuangalia uhalisia wa kinachosemwa? Hebu vuta picha kama sie wenyewe tu ambao ndio tunaishi hapa Tz ila tunatofautiana kwenye vifo vya corona wengine wanasema watu wanakufa sana wengine hawaoni hao watu wanaokufa sana na wote tunaishi nchi mmoja,sasa hivyo vyombo vya nje nao tutawaamini kwa lipi?Bora vyombo vya kimataifa sasa vitumike kueleza nini kinaendelea hapa nchini ili watu wajue hali halisi ikoje.