Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Huo huo niliokuonesha hapo Juu, Magufuli alishindwa alikuwa anasingizia Sgr 🀣🀣

Nyie wajinga Mimi hamnisezi maana nakupeni facts nyie mnaleta tantalila 😁😁
Mpaka hapa nahitimisha kusema, Wapumbavu wengi kama wewe na majizi, wauza ngada, wafoji vyeti, ndio pekee mtaendelea kumpinga Magufuli
 
Hakuna wa kumzidi mwendazake. Mama karuhusu wezi waibe ili wakafungue viwanda. Magufuli hakuruhusu wizi ila watu wawe na clean money na walioinvest kijanja janja bila kulipa kodi toka zama za JK walitubu kwa DPP.

Mwendazake hakupewa hela za ubwete kama anazopata Samia kwa kugawa rasilimali bure kwa wageni. Angezipata nadhani angefanya mara 10 ya sasa.
 
Doh!

Umeongea ukweli wenye kung'ata mno mkuu
 
Kama hujui watu walipata hela zaidi kwa Magufuli kuliko hata sasa tena ni raia wa kawaida tu maana biashara nyingi zilikuwa zinaendeshwa kwa haki. Sahizi watu wanaopata hela ni wenye mitaji mikubwa tu wale maskini wanaunga unga mwana hali tete na huduma za kijamii mbovu kuliko maelezo.
 
Samia hana maamuzi na bei za mazao au bidhaa nyingine yoyote ile
 
Anajua tatizo chuki zake Kwa kamanda magufuli ndio zinamtesa
 
Anajua tatizo chuki zake Kwa kamanda magufuli ndio zinamtesa
Huyo jamaa namuonaga ni mjinga fulani hivi na mpiga zeze fulani hivi wa maboss zake na ili tu alipwe, lakini anachokuwa akikitetea ni ujinga mtupu
 
Performance ya samia kamwe haitokuja kufikia ya magufuli hata aongoze miaka 100
 
Hivyo vigezo walivyovitumia ambavyo havikuwa sahihi, mbona hawajavitaja?
 
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni
Sio facts ni nini? Tunajihangaisha kuganyaje? πŸ˜‚πŸ˜‚

Bado hujasema soma hiyooo πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…