JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Number don't Lie. Ni perception ya mtu binafsi.Number sometimes do lie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Number don't Lie. Ni perception ya mtu binafsi.Number sometimes do lie
Mpaka hapa nahitimisha kusema, Wapumbavu wengi kama wewe na majizi, wauza ngada, wafoji vyeti, ndio pekee mtaendelea kumpinga MagufuliHuo huo niliokuonesha hapo Juu, Magufuli alishindwa alikuwa anasingizia Sgr 🤣🤣
Nyie wajinga Mimi hamnisezi maana nakupeni facts nyie mnaleta tantalila 😁😁
Hakuna wa kumzidi mwendazake. Mama karuhusu wezi waibe ili wakafungue viwanda. Magufuli hakuruhusu wizi ila watu wawe na clean money na walioinvest kijanja janja bila kulipa kodi toka zama za JK walitubu kwa DPP.Sasa linganisha bln 700 Kwa miaka 3 vs Bilioni 700 miaka 5.. Maneno mengi sana ila takwimu zinawakataa.
Mnapora watu pesa unaleta stori za ega 😁😁
Na hakika hata tukilinganisha na JK lazima atamzidia Mwendazake bila hata hizo ega na porojo zingine 😂😂
Tahila mwingine ni babako kule kijijini kwenu kamwulize uone atakavomkumbukaNi matahila tu ndio watamkumbuka kiumbe muuaji
Uchochezi na kumdhalilisha Rais wa ccmMashitaka ya nini?? Kwa kosa gani?
Doh!Hakuna wa kumzidi mwendazake. Mama karuhusu wezi waibe ili wakafungue viwanda. Magufuli hakuruhusu wizi ila watu wawe na clean money na walioinvest kijanja janja bila kulipa kodi toka zama za JK walitubu kwa DPP.
Mwendazake hakupewa hela za ubwete kama anazopata Samia kwa kugawa rasilimali bure kwa wageni. Angezipata nadhani angefanya mara 10 ya sasa.
Hofu ya Mungu unaijua? Acheni unafki ana yake kibao nyuma ya paziaVizur, mchukueni gwaji boy akalijaze upepo amalizie ingwe yake, sisi tunasimama na madam ambae ana hofu ya Mungu
Kama hujui watu walipata hela zaidi kwa Magufuli kuliko hata sasa tena ni raia wa kawaida tu maana biashara nyingi zilikuwa zinaendeshwa kwa haki. Sahizi watu wanaopata hela ni wenye mitaji mikubwa tu wale maskini wanaunga unga mwana hali tete na huduma za kijamii mbovu kuliko maelezo.Payroll ipi Sasa Mimi nalima mahindi huku Mpimbwe na tunauza.kwa bei nzuri ya Samia.
Yaani unanilazimisha nimpambe mtu ambae hakuwa na Msaada Kwangu?
Mwisho usipotoka Wala kupata kazi awamu ya Mama hesabu hasara maana watakuja wapuuzi wengine kutoka hiyo dini yenu ya kitapeli kuharibu maisha ,subiria Samia atoke utaona.
Samia hana maamuzi na bei za mazao au bidhaa nyingine yoyote ilePayroll ipi Sasa Mimi nalima mahindi huku Mpimbwe na tunauza.kwa bei nzuri ya Samia.
Yaani unanilazimisha nimpambe mtu ambae hakuwa na Msaada Kwangu?
Mwisho usipotoka Wala kupata kazi awamu ya Mama hesabu hasara maana watakuja wapuuzi wengine kutoka hiyo dini yenu ya kitapeli kuharibu maisha ,subiria Samia atoke utaona.
Huyu bwege anatakiwa aambiwe ukweli kwa gharama yeyote.Doh!
Umeongea ukweli wenye kung'ata mno mkuu
Anajua tatizo chuki zake Kwa kamanda magufuli ndio zinamtesaKama hujui watu walipata hela zaidi kwa Magufuli kuliko hata sasa tena ni raia wa kawaida tu maana biashara nyingi zilikuwa zinaendeshwa kwa haki. Sahizi watu wanaopata hela ni wenye mitaji mikubwa tu wale maskini wanaunga unga mwana hali tete na huduma za kijamii mbovu kuliko maelezo.
Wewe dogo ni kituko sanaHuo huo niliokuonesha hapo Juu, Magufuli alishindwa alikuwa anasingizia Sgr 🤣🤣
Nyie wajinga Mimi hamnisezi maana nakupeni facts nyie mnaleta tantalila 😁😁
Huyo jamaa namuonaga ni mjinga fulani hivi na mpiga zeze fulani hivi wa maboss zake na ili tu alipwe, lakini anachokuwa akikitetea ni ujinga mtupuAnajua tatizo chuki zake Kwa kamanda magufuli ndio zinamtesa
Hata magufuli alikua anampamba sana huyu ni sawa na malaya hana msimamo bwana yeyote anakokota gomaHuyo jamaa namuonaga ni mjinga fulani hivi na mpiga zeze fulani hivi wa maboss zake na ili tu alipwe, lakini anachokuwa akikitetea ni ujinga mtupu
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoniHuo huo niliokuonesha hapo Juu, Magufuli alishindwa alikuwa anasingizia Sgr 🤣🤣
Nyie wajinga Mimi hamnisezi maana nakupeni facts nyie mnaleta tantalila 😁😁
Hivyo vigezo walivyovitumia ambavyo havikuwa sahihi, mbona hawajavitaja?Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Nashangaa hizo 17% kazitoa wapi, ilitakiwa isizidi 3%Ukiacha mwinyi, samia ndio raisi mbovu kuliko wote,
It's vague. You can't make any meaningful statistical analysis without knowing the sampling methodsHow can I put this?🤔
👇
![]()
Please read.
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni
Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni
Sio facts ni nini? Tunajihangaisha kuganyaje? 😂😂Hakuna fact hata moja. wewe na vipofu wenzio mnajihangaisha mwisho wa siku mtatumbukia shimoni