The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Maelekezo kutoka juuGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Uji wa nini? Kisa mzoga wenu?Ha ha.
Kunywa uji tu kwa leo. Live to fight another day.
It's vague. You can't make any meaningful statistical analysis without knowing the sampling methods
Watu gani walilala njaa!!?Zilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.
Kwa hiyo waliopiga kura kwenye hiyo online polling ni class 7 bro!?Mambo ya kitaalamu hayaamuliwi kwa kura, huwezi muuliza darasa la saba apigie kura sera ya uchumi wakati haelewi maana yake!! Kazi ya mwananchi ingeeleza sera ni nini na kuziainisha pale. Hakuna timamu angempigia JPM? yaani majobless enzi za JPM wampigie kura waache expansionary policy ya Mama Samia iliowaajiri mara 10 ya ajira za JPM? Get serious
Kama sasa hawalipi kodi mbona makusanyo ni makubwa kuliko kipindi cha JPM? imewezekanaje?Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Kwani kabla ya JPM makusanyo yalikuwaje?Kama sasa hawalipi kodi mbona makusanyo ni makubwa kuliko kipindi cha JPM? imewezekanaje?
Ni sawa na useme economic policy ya chadema na CCM? Hivi wangapi wanazijua? Trust me 80% ya wapiga kura wanachagua chama ila hawajui sera za chama wala katiba hawajawahi kuisoma. Na ndio maana nikasema hata masuala ya uchumi wengi wamepiga kura hapo kwa kuangalia leadership style kwamba kutumbua, kufokea wazembe, sijui kujenga miundombinu ndio economic policy!! Na ndio weakness ya hiyo poll. Ila wangeweka sera kama sera ndio ingekua fair poll maana hakuna anayeweza chagua contractual policy akaacha expansionary na private sector driven economy. Niamini mimi watu wanatamani hata uchumi wa mzee ruksa kuliko wa mkapa!! maana ni urahisi kwa raia ingawa mzigo kwa serikali.Kwa hiyo waliopiga kura kwenye hiyo online polling ni class 7 bro!?
😂😂😂😂 Mmmae yaani hii ni Kali kuliko,dah!Duuh, lijamaa limekufa lakini linaupiga mwingi mbaya 😂😂🙌
Billion 600-700 hivi kwa mwezi, baada ya JPM akapora kodi za majengo halmashauri ndio ikapanda mpaka 1 Trillion plus. Mama samia amekuja imefika 2 Trillion sasa kama mnadai watu hawalipi kodi sijui JPM alibana wakwepa kodi, mbona mapato hayashuki?Kwani kabla ya JPM makusanyo yalikuwaje?
wakifanya hvyo hata hata keyboard wakati wa kutyping itakataaa maana niuogoBaada ya Matokeo kurekebishwa Mama ndiye atapewa 59% na Mwendazake 17%
Achana na kingereza cha ugoko angalia takwimu hizo samia ameambulia zero.It's vague. You can't make any meaningful statistical analysis without knowing the sampling methods
Exactly, some metrics need to be considered to make it valid. Like number of times an account votes, control of in-house votes, control stat padding, randomization, etc.Does online polling need certain samples to give valid results son?
More than one thousand wapige kura Kwa hayo mawazo Yako!? Sio kweli ndugu,watanzania sio wajinga,by the way,nachoamini Mimi,waliopiga kura mostly ni wasomi Kwa sababu ni nadra sana mtanzania asoyejua kiingereza au Ambae hana elimu ya juu kusoma gazeti la "The citizen". Kwa maana hiyo unachosema sio kweli kabisa.Ni sawa na useme economic policy ya chadema na CCM? Hivi wangapi wanazijua? Trust me 80% ya wapiga kura wanachagua chama ila hawajui sera za chama wala katiba hawajawahi kuisoma. Na ndio maana nikasema hata masuala ya uchumi wengi wamepiga kura hapo kwa kuangalia leadership style kwamba kutumbua, kufokea wazembe, sijui kujenga miundombinu ndio economic policy!! Na ndio weakness ya hiyo poll. Ila wangeweka sera kama sera ndio ingekua fair poll maana hakuna anayeweza chagua contractual policy akaacha expansionary na private sector driven economy. Niamini mimi watu wanatamani hata uchumi wa mzee ruksa kuliko wa mkapa!! maana ni urahisi kwa raia ingawa mzigo kwa serikali.
Weka ushahidi wa haya madai yako ili data ziendani na hoja bila ushahidi unadhihirisha jinsi gani hauna akili.Billion 600-700 hivi kwa mwezi, baada ya JPM akapora kodi za majengo halmashauri ndio ikapanda mpaka 1 Trillion plus. Mama samia amekuja imefika 2 Trillion sasa kama mnadai watu hawalipi kodi sijui JPM alibana wakwepa kodi, mbona mapato hayashuki?
2025 Dunia itakuja kushuhudia Jambo zito kuwahi kutokea katika ardhi hii dalili ziko wazi ujumbe umetumwa mapemaa wenye kuelewa wamekwisha elewa.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Social media engagement and points farming huwa haijalishi lugha maadam kuna picha na video people can vote ila ingewekwa a purely PDF document ya economic policies unadhani mtanzania gani ana muda wa kusoma? Kama unabisha nenda tu jukwaa la biashara zile mada serious za uwekezaji au foreign policy huko International forums hazina wachangiaji!! Ila Jf photos au mahusiano viewers hufika 1m plus!!More than one thousand wapige kura Kwa hayo mawazo Yako!? Sio kweli ndugu,watanzania sio wajinga,by the way,nachoamini Mimi,waliopiga kura mostly ni wasomi Kwa sababu ni nadra sana mtanzania asoyejua kiingereza au Ambae hana elimu ya juu kusoma gazeti la "The citizen". Kwa maana hiyo unachosema sio kweli kabisa.
Nyerere alituunganisha kuwa kitu kimoja na kuondoa ubaguzi kati yetu,ila sera zake za uchumi zilirudisha nyuma nchi ndio maana aliondoka madarakani maana sera zake zilifeli.Ni ujinga kumlinganisha nyerere na rais yeyote nchi hii.