Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Maelekezo kutoka juu
 
Zilionekana wapi mkuu? Yaani miundombinu huku watu wamelala njaa ndio uchumi kukua? Mama Samia anachofanya ni kuongeza pesa kwa mzunguko na ndio maana inaleta mfumuko wa bei maana pesa inapatikana kwa urahisi kupitia government expenditure.
Watu gani walilala njaa!!?
 
Mambo ya kitaalamu hayaamuliwi kwa kura, huwezi muuliza darasa la saba apigie kura sera ya uchumi wakati haelewi maana yake!! Kazi ya mwananchi ingeeleza sera ni nini na kuziainisha pale. Hakuna timamu angempigia JPM? yaani majobless enzi za JPM wampigie kura waache expansionary policy ya Mama Samia iliowaajiri mara 10 ya ajira za JPM? Get serious
Kwa hiyo waliopiga kura kwenye hiyo online polling ni class 7 bro!?
 
Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Kama sasa hawalipi kodi mbona makusanyo ni makubwa kuliko kipindi cha JPM? imewezekanaje?
 
Kwa hiyo waliopiga kura kwenye hiyo online polling ni class 7 bro!?
Ni sawa na useme economic policy ya chadema na CCM? Hivi wangapi wanazijua? Trust me 80% ya wapiga kura wanachagua chama ila hawajui sera za chama wala katiba hawajawahi kuisoma. Na ndio maana nikasema hata masuala ya uchumi wengi wamepiga kura hapo kwa kuangalia leadership style kwamba kutumbua, kufokea wazembe, sijui kujenga miundombinu ndio economic policy!! Na ndio weakness ya hiyo poll. Ila wangeweka sera kama sera ndio ingekua fair poll maana hakuna anayeweza chagua contractual policy akaacha expansionary na private sector driven economy. Niamini mimi watu wanatamani hata uchumi wa mzee ruksa kuliko wa mkapa!! maana ni urahisi kwa raia ingawa mzigo kwa serikali.
 
Kwani kabla ya JPM makusanyo yalikuwaje?
Billion 600-700 hivi kwa mwezi, baada ya JPM akapora kodi za majengo halmashauri ndio ikapanda mpaka 1 Trillion plus. Mama samia amekuja imefika 2 Trillion sasa kama mnadai watu hawalipi kodi sijui JPM alibana wakwepa kodi, mbona mapato hayashuki?
 
Does online polling need certain samples to give valid results son?
Exactly, some metrics need to be considered to make it valid. Like number of times an account votes, control of in-house votes, control stat padding, randomization, etc.
 
Ni sawa na useme economic policy ya chadema na CCM? Hivi wangapi wanazijua? Trust me 80% ya wapiga kura wanachagua chama ila hawajui sera za chama wala katiba hawajawahi kuisoma. Na ndio maana nikasema hata masuala ya uchumi wengi wamepiga kura hapo kwa kuangalia leadership style kwamba kutumbua, kufokea wazembe, sijui kujenga miundombinu ndio economic policy!! Na ndio weakness ya hiyo poll. Ila wangeweka sera kama sera ndio ingekua fair poll maana hakuna anayeweza chagua contractual policy akaacha expansionary na private sector driven economy. Niamini mimi watu wanatamani hata uchumi wa mzee ruksa kuliko wa mkapa!! maana ni urahisi kwa raia ingawa mzigo kwa serikali.
More than one thousand wapige kura Kwa hayo mawazo Yako!? Sio kweli ndugu,watanzania sio wajinga,by the way,nachoamini Mimi,waliopiga kura mostly ni wasomi Kwa sababu ni nadra sana mtanzania asoyejua kiingereza au Ambae hana elimu ya juu kusoma gazeti la "The citizen". Kwa maana hiyo unachosema sio kweli kabisa.
 
Billion 600-700 hivi kwa mwezi, baada ya JPM akapora kodi za majengo halmashauri ndio ikapanda mpaka 1 Trillion plus. Mama samia amekuja imefika 2 Trillion sasa kama mnadai watu hawalipi kodi sijui JPM alibana wakwepa kodi, mbona mapato hayashuki?
Weka ushahidi wa haya madai yako ili data ziendani na hoja bila ushahidi unadhihirisha jinsi gani hauna akili.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
2025 Dunia itakuja kushuhudia Jambo zito kuwahi kutokea katika ardhi hii dalili ziko wazi ujumbe umetumwa mapemaa wenye kuelewa wamekwisha elewa.
 
More than one thousand wapige kura Kwa hayo mawazo Yako!? Sio kweli ndugu,watanzania sio wajinga,by the way,nachoamini Mimi,waliopiga kura mostly ni wasomi Kwa sababu ni nadra sana mtanzania asoyejua kiingereza au Ambae hana elimu ya juu kusoma gazeti la "The citizen". Kwa maana hiyo unachosema sio kweli kabisa.
Social media engagement and points farming huwa haijalishi lugha maadam kuna picha na video people can vote ila ingewekwa a purely PDF document ya economic policies unadhani mtanzania gani ana muda wa kusoma? Kama unabisha nenda tu jukwaa la biashara zile mada serious za uwekezaji au foreign policy huko International forums hazina wachangiaji!! Ila Jf photos au mahusiano viewers hufika 1m plus!!

So indeed waTanzania ni wajinga na wanapenda mambo ya umbea kuliko serious matters. Ndio maana nikasema majority voted based on aina ya uongozi kuliko economic policies maana zimewekwa picha tu sio sera zao hata kuandikiwa summary
 
Ni ujinga kumlinganisha nyerere na rais yeyote nchi hii.
Nyerere alituunganisha kuwa kitu kimoja na kuondoa ubaguzi kati yetu,ila sera zake za uchumi zilirudisha nyuma nchi ndio maana aliondoka madarakani maana sera zake zilifeli.
 
Back
Top Bottom