Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Ungekua haujaunganishwa kuwa kitu kimoja huo uchumi ungeundelezaje? Kwanza labda kusingukuwepo na hii nchi.Nyerere alituunganisha kuwa kitu kimoja na kuondoa ubaguzi kati yetu,ila sera zake za uchumi zilirudisha nyuma nchi ndio maana aliondoka madarakani maana sera zake zilifeli.
Tunaongelea sera kakaUngekua haujaunganishwa kuwa kitu kimoja huo uchumi ungeundelezaje? Kwanza labda kusingukuwepo na hii nchi.
Ukabilaa ni jambo bayaa sanaa ndo maana wakenya hadi leo kuja sintofahamu...!! Maendelo JPM tunamuhitaji zaidi kuliko rais yeyote..! Alikuwa na mipango mikubwa na utendaji wa watu ulijaaa nidhamu.Ungekua haujaunganishwa kuwa kitu kimoja huo uchumi ungeundelezaje? Kwanza labda kusingukuwepo na hii nchi.
Ushahidi huu hapa, huyo JPM hamfikii Samia kwa ukusanyaji mapato ingawa hateki, hafungii biashara wala kufoka kwenye makamera.Weka ushahidi wa haya madai yako ili data ziendani na hoja bila ushahidi unadhihirisha jinsi gani hauna akili.
Mipango ipi? Alikua anaua uchumi, huwezi tengeneza uchumi kwa kuikandamiza sekta binafsi!!Ukabilaa ni jambo bayaa sanaa ndo maana wakenya hadi leo kuja sintofahamu...!! Maendelo JPM tunamuhitaji zaidi kuliko rais yeyote..! Alikuwa na mipango mikubwa na utendaji wa watu ulijaaa nidhamu.
Sera zinakua bora ikiwa mazingira yote ya nchi ni bora. Huwezi kuwa na sera nzuri za kiuchumi kwenye jamii ambayo ina mgawanyiko.Tunaongelea sera kaka
Hamna lolote mnafanya, mbona mlisema hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM ila akazoa kura zote. Huyo Mpina alikua mpiga kelele cha ajabu aliangushwa NEC mkoa na taifa na hakuna kitu mlifanya sukuma gang kumuokoa mwenzenu.2025 Dunia itakuja kushuhudia Jambo zito kuwahi kutokea katika ardhi hii dalili ziko wazi ujumbe umetumwa mapemaa wenye kuelewa wamekwisha elewa.
Hata mimi imefika tayari nimeiblue tiki 😂😂 Hata wasemeje
Tayari
Message sent and delivered
Jpm anakubalika hata wanaompinga hadharani wanamkubali moyoniWatakuwa wamekoromewa...
Ila ujumbe ushafika!
Na hii vita ni kubwa: Wafu vs. Walio hai!
View attachment 2974509
Mwananchi kumbe bogus.Yaani wameandaa poll,wameandaa vigezo,tena naamini walivipitisha kwa wadau wengine ili wapewe maoni as to their suitability,vikaonekana vinafaa,leo wanatuambia havikuwa sahihi,sikweli vilikuwa sahihi, ila wanaogopa serikali itawa-deal.Anyway kwa Mwenye akili na Samia message sent,viatu vya Magufuli havimtoshi,ajitathmini.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Makusanyo ya mapato sio kitu cha kulinganisha uongozi kwa sababu vitu kama wingi wa watu vinabadilisha kiwango cha mapato.Ushahidi huu hapa, huyo JPM hamfikii Samia kwa ukusanyaji mapato ingawa hateki, hafungii biashara wala kufoka kwenye makamera.
Compare na data za JPM mwaka wake wa mwisho 2019/2020.
Tafadhali tujikite kwenye hoja kwa bahati mbaya mi sipo katika makundi uyawazayo sababu ndio yametufikisha hapa Kama Taifa hapa tunajadili polls za the citizen newspaperHamna lolote mnafanya, mbona mlisema hawezi kuwa mwenyekiti wa CCM ila akazoa kura zote. Huyo Mpina alikua mpiga kelele cha ajabu aliangushwa NEC mkoa na taifa na hakuna kitu mlifanya sukuma gang kumuokoa mwenzenu.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
Sera za Uchumi za MaRais? Yaani kila Rais wa Tanzania ana sera zake za uchumi?Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Angalau umetoa wazo. Issue ya opinion ingefaa iwasaidie kuboresha sera na si kuukana utafitiMy opinion ,
- Tariff ambazo January Makamba aliziongeza kwenye uunganishaji umeme zirudishwe kama awali.
- Halmashauri za Miji zirudishe vitambulisho vya machinga lakini wawe stricted kwenye maeneo yao, na umachinga wao uwe na mipaka, mfano, wanauza only used items.
- importer wa bidhaa mbali mbali wawe wanafuatiliwa kwa ukaribu ili kuhakikisha bidhaa hizo, aidha zinauzwa in wholesale only, aidha muhusika anakuwa na duka kwa ajili ya bidhaa zake, na si kuzimwaga directly kwenye meza za kariakoo!
Hakuna sababu kurudiwa kwani kosa liko wapi. Pingine wakaehadi mwaka au angalau miezi sita ili kuangalia kama opinion imesaidia marekebisho ingawa matokeo rasmi chanya hayatajionyesha.Nashauri wafanye kuweka sawa vigezo alafu irudiwe.
I can't be a son to you. Instead I am of the age of your dad. I could beget you if I would have met your mom before your dadDoes online polling need certain samples to give valid results son?