Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Hapo sasa! Waitishe kura kwenye gazeti lao maana hata wana CCM wenyewe wanajua shughuli ya JPM!
Kwani hamuwezi kupigisha kura kwenye lile gazeti lenu la uhuru na nyie lilosema mama yenu hata gombea 2025 mpaka mfungie gazeti la watu
!
 
Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Wanyonge, walalahoi , wala mihogo ndiyo wana mabando ya kuchezea ( Simu zao data iko on muda wote).

Kijana...uliishiwa bando ndiyo maana hukuona poll.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Samia anapenda kusifiwa tu hataki watu wawe huru kutoa mawazo yao jinsi anavyoipeleka nchi kuzimu. Baada ya kuona nchi imemshinda kuongoza, sasa ameanza vitisho uchwara kuwatishia watafiti bila sababu za msingi.
 
Ila tukubali tu ukweli Rais aliyeko madarakani kwa sasa nchi imemshinda. Yaani kwa ufupi tu wahuni wamemzidi kila upande.

Hali ya maisha mtaani imekuwa ni ngumu kupitiliza. Hela haishikiki! Na hata ikitokea ukaishika, inapukutika kirahisi tu ndani ya muda mfupi! Dah!! Halafu kuna watu wanataka atawale mpaka 2030! Sasa si tutapoteana kwa hali hii!

Maana mafisadi wanafurahia tu maisha! Huku wale wananchi wanaopambana kwa njia halali, wakiendelea kutaabika!
 
Ni miaka mitatu kikiwa hakipo ila
1693938687100.jpg
Chuma kinaendelea kuwaburuza
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Radhi ya nini,?
Hii ni nzuri kujua yaliyo ndani ya mioyo ya watu.
Tukiwajuza mama anahujumiwa mwazifuta posti.
Basi ya kheri maji ya dafu kuoshea kidonda.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Yaani Magufuli atawashinda mno hao. Najua lingeongoza jimama wasingeomba radhi lakini masikini mfumo umewafanya waombe radhi because they are not free to such extent.
 
Hahhahah hii weekend ni nzuri sana! Uchaguzi unakuja wajipange sana hasa wanapoamua kumponda Magufuli! 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Hahahaha wewe acha tu. Unajua Dkt Samia wanaendelea kumlaghai na ile timu yake. 2010 Dkt Kikwete alishinda kwa mbinde ina maana kama siyo Dkt Magufuli 2015 chama mfu aka mifupa aka NGO ya gaidi mbowe ingeweza kushinda ila isingepewa nchi kwa sababu kuna jambazi la kuteka magari lema ndani yake
 
Back
Top Bottom