ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699