Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Hawa wametumia module gani? Pili usitegemee watu wenye chuki binafsi za mrengo wa kidini,mfumo dume na uzanzibar wakapigia kura Samia.
 
Hahahaha wewe acha tu. Unajua Dkt Samia wanaendelea kumlaghai na ile timu yake. 2010 Dkt Kikwete alishinda kwa mbinde ina maana kama siyo Dkt Magufuli 2015 chama mfu aka mifupa aka NGO ya gaidi mbowe ingeweza kushinda ila isingepewa nchi kwa sababu kuna jambazi la kuteka magari lema ndani yake
Mimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!
 
Pale Chadema hakuna watu sahihi kaka,yaani tunataka mtu awe kama JPM!
Una akili kweli wewe? Awe kama JPM Ili walionacho wawe maskini na wale wachache walioko kwenye Utawala Waendelee kuneemeka? Mfano Makonda amekuwa bilionea awamu ya 5 na wengine wote waliokuwa wanatumikia Utawala.

Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye pesa anaweza tamani Utawala ule labda maskini waliokata tamaa ambao kwao wenye pesa wakiporwa pesa na kuwa maskini ndio furaha Yao,wanasema tulingane.
 
Wewe tulia anzisheni hata hapa jamii forum bado mtaangukia put!
Tuanzishe nini? Mbona wewe Huwa unaanzisha na Bado hiyo Pua hatujawahi angukia?

Unategemea Wale waliokuwa wanaharibu Hifadhi ya Ngorongo watampogia Samia kura?

Mwendazake alikuwa Rais wa watu mafukara na wengine waliokata tamaa ya maisha.
 
Mimi nimeshawaambia bila kumpa Makonda 2025 hawachomoki hawa CCM maana wanachokihitaji wananchi ni mtu anayejali shida zao na kusimamia uwajibikaji!
Sana, wananchi wana maumivu. Unajua tofauti na miaka ya nyuma ila wapiga kura wa sasa wanalinganisha sana na wanajua haki zao
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Ukiniuliza Mimi Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli na nimekuwa naelezea humu jukwaani bila kujalisha Sukuma gang wanasemaje.
 
Una akili kweli wewe? Awe kama JPM Ili walionacho wawe maskini na wale wachache walioko kwenye Utawala Waendelee kuneemeka? Mfano Makonda amekuwa bilionea awamu ya 5 na wengine wote waliokuwa wanatumikia Utawala.

Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye pesa anaweza tamani Utawala ule labda maskini waliokata tamaa ambao kwao wenye pesa wakiporwa pesa na kuwa maskini ndio furaha Yao,wanasema tulingane.
Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
"Mwananchi" ukweli na uhakika!

#Case Closed!
 
Nani kaporwa pesa? Wafanyabiashara walikuwa hawalipi Kodi. Mfano juzi Samia alilalamika jinsi watu wanakwepa Kodi,hayo ndio Magufuli alikuwa akiyasimamia wajinga kama ww wanasema uongo kuwa Magufuli alikuwa anapokea pesa,by the way,ww hapo ulipirowa TSH, ngapi na Magu?
Mifano ya walioporwa wako wengi sana na Mimi nawajua Baadhi Yao.

Pili Serikali imekiri mara kadhaa na ndio maana imewarudishia wale wa Burea de change

Tatu wewe unakumbuka mambo ya hela za plea bargain na CAG alisema hazikuingia kwenye account za serikali na wanaufaika unawafahamu.

Mwisho kulalamika Kwa Kiongozi ni kuwatahadharisha kama kawaida ila hujaskia Serikali inawapora na kuwakomoa,unajua Kwa nini? Kwa sababu inajua mazingira ya biashara Tzn ni magumu inatakiwa akili ku deal nao vinginevyo Mapato hata hayo mafogo yatapotea.

Mwisho wa siku Mapato yameongezeka mara 2 kuliko miaka 5 ya Magufuli ila nyie hater hamuwezi zungumzia haya.

Nasisitiza Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli by any metric Samia anafanya vizuri zaidi.
 
Y
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Asilimia za wote watatu zikijumlishwa hazifiki za mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom