Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Unaumia ukiwa wapi?😂😂Kura za watu 1,025!
Huu ni uduwanzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumia ukiwa wapi?😂😂Kura za watu 1,025!
Huu ni uduwanzi
Kwani mzee sarungi alikuwa waziri kipindi gani vile?Wanaharakati huko mtandaoni X wanadai Vijana wa Sasa Wengi hawakushuhudia utendaji Kazi uliotuka wa hayati Mkapa ila wamebahatika kumshuhudia hayati Magufuli tu
Maria Sarungi & co kwahiyo mnatuambia Mkapa ndio amejenga Uchumi Bora wa Tanzania?
Ni hilo tu
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
Tena wanaojua kingereza kibongobongo ni watu wenye ufahamu fulani!Kura za watu 1,025!
Huu ni uduwanzi
ndioWanaharakati huko mtandaoni X wanadai Vijana wa Sasa Wengi hawakushuhudia utendaji Kazi uliotuka wa hayati Mkapa ila wamebahatika kumshuhudia hayati Magufuli tu
Maria Sarungi & co kwahiyo mnatuambia Mkapa ndio amejenga Uchumi Bora wa Tanzania?
Ni hilo tu
Mlale Unono
Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
Huyo pengwini anatizama data haamini kichwa imejaa kama tikitimaji! HahahaUnaumia ukiwa wapi?😂😂
Kwa hayo matokeo ni wazi umepanic, wanasema kazini kwako kuna kazi 😂😂Ukiniuliza Mimi Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli na nimekuwa naelezea humu jukwaani bila kujalisha Sukuma gang wanasemaje.
Na mitambo yake ilipotea pamoja na gazeti lenyewe hadi leooooHii ni kama gazeti la majira 1995 lilipotangaza matokeo ya uchaguzi zanzibar kuwa shariffu Hamadi alishinda likafungiwa lakini ukweli haufutiki!
Mkapa alietuweka kwenye mgao wa umeme unawaka saa sita usiku hadi kumi na moja asubuhi? Mkapa alieuza nyumba za Oyster Bay? Mkapa aliye binafsisha mashirika bila faida kwa umma. CCM haijawahi kuwa na viongozi wazuri.Wanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.
Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.
Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.
Hivi halipo tena lile gazeti hata sijui!Na mitambo yake ilipotea pamoja na gazeti lenyewe hadi leoooo
'Statistics' kama ilivyo kwa taaluma ya uchumi, huwezi kukosa sababu ya kisingizio kwa nini namba hazionyeshi kama ulivyotegemea wewe. Hapa unahoji 'demographics'; lakini isingewezekana Mwananchi wachambue watu maalum wa kuwauliza maswali ili wapate majibu sahihi. Labda unachoweza kusema sasa hivi, ni kuchambua hizo data walizopata, kama kulikuwepo na kipengere cha umri, sasa waangalie hao 'responders' wa umri gani wanalalia kwa kiongozi yupi.Wanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.
Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.
Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.
Umeaminishwa ivyo na mafisadi ukaaminiIla ex seminarian wa Katoke asingekuwa na vya kuua ua kisa demokrasia na kupenda kuongoza nchi kama familia ni alikuwa na uthubutu wa kutupeleka sehem!
Basi tu ujasiri bila maarifa huzaa msiba!