Tangu lini werevu wakawa wengi kuzidi wajinga? Na wajinga wakiamua lao si unajua matokea? Don't play with wajinga ,they don't use brain 😁😁
Nakujibu Kwa kutumia takwimu ndogo tuu,wakati Magufuli anaingia madarakani wastani wa Makusanyo TRA ilikuwa Bilioni 800 Kwa mwezi,Hadi anakufa 2021 wastani ulikuwa 1.5T..sawa na Bilioni 700 Kwa miaka 5.
Samia kutoka 1.5T Hadi 2.2T/M sawa na Bilioni 700 miaka 3.
Bajeti hii inayoendelea Sasa hivi TRA inatarajia kufikisha 2.5T Kwa mwezi na hapo hakuna mradi mkubwa hata mmja wa Magufuli umeanza Kuzalisha ,ni sera za kurudisha Imani Kwa wafanyabiashara zimelwta hela.
Huo ni ushahidi wa kwanza,nikutajie mengine? Tumia brain sio moyo kufanya judgement takwimu zinaongea ila mapenzi ni tofauti na takwimu.Kama unataka mapenzi peleka Kwa.Magu ila kama unataka takwimu Samia is here to stay