Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Na huo ndio UKWELI na uhalisia ulivyo hata huku mtaani!

Sio hayo mapambio ya eti mama anaupiga mwingi!? ..waaapi!?

Na hapo Bado sikuiona hii!..! NILIKUWA SIJA-CAST KURA YANGU!

NINGEPIGA KURA NA MIMI...MNGEENDELEA KUMVUA HUYO MAMAENU NGUO!... NA KUENDELEA KUSHUKA PENGINE HADI -0.001%

Hayo ya mwananchi(gazeti) kuomba radhi.... Ni matakwa/ maagizo kutoka juu...

Wameona uhalisia ulivyo kwa ground!...Mwananchi hawajaomba kwa utashi wao!
Hivi mtu na akili zako timamu utampenda Samia na Genge lake kwa lipi?

. Nauli zimepanda maradufu, yani hapa dar ili usafiri kwa uhuru lazima utenge ten kabisa hapo hujala.

. Kodi kila kona, fikiria sement sasa hivi kwa dar hapa bila 20 hufikishi site kwako.

. Yani hadi anaenunua luku analipa elfu 1500 eti kodi ya jengo.

. Njoo kwenye miamala ya simu sasa!

. Bidhaa za vyakula bei juu.

Sasa utasema una rais hapo?
 
Ni kweli vigezo havikuwa sahihi, sera za uchumi ni budi zipimwe kwa matokeo yake sio kwa malengo yake (dreams).
Acha longolongo zako hata uweke vigezo gani ishu ni waliopiga Kura .
Huyu mama hamna kitu anafanya na huo ndio ukweli
 
Wanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.

Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.

Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata mamayo kagalagazzwa!

Yani mama ni JK part 2
 
Ni sawa tufaye wewe ndio Kati ya hao mliompigia samia , Ila ndio hivyo mpo wachache mmeshindwa mama yenu hana kitu
Siku zote wenye akili Huwa ni wachache.Hata Nyerere alivyouliza mnataka Vyama vingi au Kimoja wengi walisema Kimoja ila Kwa kuwa siku zote wajinga ni wengi aka opt uamzi wa wachache.

Wenye akili hawajawahi kuwa wengi ndio maana Wanasiasa maigizo dizaini ya hao wanawachezea akili saizi amekuja Makonda na ana wafuasi wale wale wa kundi la Magufuli.
 
Nina chuki au natumia takwimu 😂😂😂😁

Chuki za nini hasa? 😂😂 ,Mbona takwimu hamtaki ila mnataka kutumia moyo kama mambo ya kitandani 🤣🤣
Acha ujinga wewe jamaa, Takwimu za polling zipo wazi acha kuleta takwimu zako ,kama vipi anzisha polling hapa hapa Kwenye thread hii
mama kaanguka Gazeti la Mwananchi wametumia Jecha style
 
Marehemu kawagaragaza tena!

Ndio mtaelewa kwanini watu walikuwa wanajaa kwa Makonda kuliko hayo mapooza ya sasa hivi kuna nchimbi.
Sio busara kushindana na Marehemu,ogopa sana jamii ikiwa na wajinga wengi ndio huchagua Hadi Rais
 
Acha ujinga wewe jamaa, Takwimu za polling zipo wazi acha kuleta takwimu zako ,kama vipi anzisha polling hapa hapa Kwenye thread hii
mama kaanguka Gazeti la Mwananchi wametumia Jecha style
Kwani wajinga kuwa wengi kunazuia polling? Wewe hapo niambie Magufuli amemzidi Samia lipi hasa na Mimi nikueleze Samia aliyomzidi Magufuli,hata ukitaka leta sekta Moja baada ya nyingine tulinganishe.

Narudia kukuuliza tena,wewe unadhani aliyekuza Mapato kutoka 1.5T Hadi 2.2T Kwa miaka 3 nani amefanya kazi kubwa?
 
Back
Top Bottom