Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Pale ambapo maiti inaibuka kidedea mbele ya wenye uhai 😁!

Kupitia hili wenye akili tumeshaelewa haina haja ya kuomba msamaha wa kizushi!
Unajua hawa jamaa wanajifanya loyal kwa mamlaka ila ujumbe umeshafika!
Kama ni ngumi basi Msoga gang wamepigwa ngumi ya kisogo maana hata kuiona ilikotokea ni ngumu kwa hiyo ni ngumi isiyo na maandalizi ya kuipokea!
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Raia wa tz hawataki rais ambae mtenda haki na muungwana, na hii ni kawaida ukiwa mwema sana wanakuchukulia wewe ni mpuuzi, namshauri Rais wa sasa awe katili kama yule jiwe la udongo,
kamata wakosoaji weka ndani,teka ua wale wote wanaotukana viongozi, minya uhuru wa kujieleza na mikutano ya kisiasa zuia kabisa, taarifa za serikali ziwe za kificho kusiwe na uwazi kabisa, sukuma gang wote watiwe adabu kwa kuminywa kende zao maana ndio wanamfadhili mange kutukana viongozi.
Rais akifanya haya ndio watamuheshimu hawa simbilisi,
Kuna chombo kimoja cha habari muhandishi wao alitekwa akazimwa na yule bwana, na leo walivyo mazuzu wanaheshimu utawala uliopita wa yule kiumbe wa ajabu.
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Mtu ameshakufa na ametuharibia nchi yetu, hiyo kura inatusaidia nini. Km ni kwl hao wananchi wanatumiwa wanaleta chokochoko. Ila rais wetu ajue mbuyu ulianza km mchicha.v
 
Ni kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanza
Kule instagram ndo usijaribu kabisa maana kuna makundi mengi ya watu wa kawaida mtaani hapo JPM lazima apate A! Huko X kidogo kuna watu analytical na wafatiliaji wa mambo lakini bado jamaa kaibuka kidedea!
 
Inategemea na upeo wa kufikiri kwa waliopiga kura. Ila kama walikuwa na upeo mkubwa wa kufikiria JPM hakuna wa kumshinda, ni grade A.
Mtu anayeweza kununua gazeti la the Citizen ni mbumbumbu toka lini? Au atembelee page ya the Citizen na mwananchi online? Na hapo mimi sikufanikiwa kuiona hio poll kwa wakati muafaka maana pengine hayati angekuwa yuko kwenye 60% au zaidi.

Wapumbavu na machawa wengi hawasomi magazeti au kutembelea page timamu zaidi ya kusikiliza udaku na porojo za usafini.
 
Yale yale ya TWAWEZA kuambiwa kuwa survey haikukidhi mchakato bora wa kukapata maoni wakati wa Mwendazake mwaka 2018 .......

The EastAfrican
https://www.theeastafrican.co.ke › tea
Tanzania research outfit Twaweza in trouble over poll

12 Jul 2018 — Twaweza is being accused of conducting the research without a permit · The Twaweza survey showed that President Magufuli's ......

Tanzania threatens pollster that said Magufuli's popularity has reduced by 41%​

By Daniel Mumbere
Last updated: 09/12/2019
Tanzania threatens pollster that said Magufuli's popularity has reduced by 41%

Photo: President John Pombe Joseph Magufuli of Tanzania

Tanzania’s government has given a pollster that published an opinion poll showing that President John Magufuli’s popularity is waning, seven days to explain why ‘appropriate action should not be taken against them ....
 
Huwezi kujisifia unakuza uchumi wakati unashindwa kupigania wananchi wako. Ona eti mchina anafungua supermarket na hiyo unaweka kwenye data kama FDI. Raia wa kigeni wanakuja kufanya kazi ambazo waTZ tunaweza kufanya. Magufuli nakumbuka alitoa limit ya raia wa kigeni kwenye kila kampuni kwa sababu alijua lazima Watanzania tujengewe uwezo na hii linatuwezesha kupata maslahi zaidi na kupunguza uondoshwaji wa pesa za kigeni. Ona sasa dollar inavozidi kupaa.
 
Huu ni uchonganishi.

He's no more.

Hivi kweli mnawezaje kumlinganisha marehemu na mtu yuko hai. We know alifanya ila hayupo, let him Rest well.

Hilo gazeti ni dhaifu
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Sukuma gang mtateseka sana...... Magufuri aliishakufa
 
Back
Top Bottom