Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Bado hujasemaaa!!!Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujasemaaa!!!Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Unajua hawa jamaa wanajifanya loyal kwa mamlaka ila ujumbe umeshafika!Pale ambapo maiti inaibuka kidedea mbele ya wenye uhai 😁!
Kupitia hili wenye akili tumeshaelewa haina haja ya kuomba msamaha wa kizushi!
Raia wa tz hawataki rais ambae mtenda haki na muungwana, na hii ni kawaida ukiwa mwema sana wanakuchukulia wewe ni mpuuzi, namshauri Rais wa sasa awe katili kama yule jiwe la udongo,Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Jiwe aliua uchumi wa nchi😂 Hata wasemeje
Tayari
Message sent and delivered
Mtu ameshakufa na ametuharibia nchi yetu, hiyo kura inatusaidia nini. Km ni kwl hao wananchi wanatumiwa wanaleta chokochoko. Ila rais wetu ajue mbuyu ulianza km mchicha.vGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Taumbie we Twitter atakuwa was Kwanza naniNi kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanza
Leta poll hapa JF fungua sasa hiviNi kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanza
Futa machoziMtu ameshakufa na ametuharibia nchi yetu, hiyo kura inatusaidia nini. Km ni kwl hao wananchi wanatumiwa wanaleta chokochoko. Ila rais wetu ajue mbuyu ulianza km mchicha.v
Wezi ndo wanakuza uchumi kumbeJiwe aliua uchumi wa nchi
Kule instagram ndo usijaribu kabisa maana kuna makundi mengi ya watu wa kawaida mtaani hapo JPM lazima apate A! Huko X kidogo kuna watu analytical na wafatiliaji wa mambo lakini bado jamaa kaibuka kidedea!Ni kura za mtandaoni, Mtandao wa Instagram....Mitandao tofauti italeta matokeo tofauti, mfano ukiitisha kura hapa JF au kule Twitter Magufuli hatakuwa wa kwanza
Mtu anayeweza kununua gazeti la the Citizen ni mbumbumbu toka lini? Au atembelee page ya the Citizen na mwananchi online? Na hapo mimi sikufanikiwa kuiona hio poll kwa wakati muafaka maana pengine hayati angekuwa yuko kwenye 60% au zaidi.Inategemea na upeo wa kufikiri kwa waliopiga kura. Ila kama walikuwa na upeo mkubwa wa kufikiria JPM hakuna wa kumshinda, ni grade A.
Imeingia eee 😂 vumilia tuu mkuu ndio ukubwa huoMhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Wananchi wameishiwa hawana ht namna ya kulipa mishahara, wafu wanapigwaje kura na walio hai? Nasema km ni kwl watu wawajibike, ht Nnape ajipimeTimu jiwe-mataga watajivuna na kurusha maneno sana kwa kina ChoiceVariable Stuxnet chiembe na FaizaFoxy
Hapo kwenye nchi tumia neno wezi/mafisadi nchiniJiwe aliua uchumi wa nchi
Analilia chooni hukoLucas Mwashambwa hajabubujikwa machozi?
Ingekuwa walalahoi na wala mihogo ndio wamepiga kura, nakuhakikishia JPM angepata zaidi ya 90% halafu huyo mama yenu amejitahidi sana angekuwa na 2%Waliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
Sukuma gang mtateseka sana...... Magufuri aliishakufaGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699