Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
JPM ameongoza nchi kwa miaka 6, kwahy uzoefu wenu kazini mlitaka kuupata kwenye awamu ya JPM ila awamu za nyuma hamkutaka uzoefu.?Huwezi kujisifia unakuza uchumi wakati unashindwa kupigania wananchi wako. Ona eti mchina anafungua supermarket na hiyo unaweka kwenye data kama FDI. Raia wa kigeni wanakuja kufanya kazi ambazo waTZ tunaweza kufanya. Magufuli nakumbuka alitoa limit ya raia wa kigeni kwenye kila kampuni kwa sababu alijua lazima Watanzania tujengewe uwezo na hii linatuwezesha kupata maslahi zaidi na kupunguza uondoshwaji wa pesa za kigeni. Ona sasa dollar inavozidi kupaa.