Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Gazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!
Kweli kabisa bwashee
 
Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Kwani kuna ugomvi gani unaoujua kati ya Mama na Hayati Magufuli? Kwani haya matokeo ya ewakera sana nyie CHAWA wa mama? Mama ni CCM na Magufuli alikuwa CCM sasa nongwa ya nini?? Tatizo la CHAWA mnafanya kazi kama Roboti, maelekezo ya Wazuri Hawafagi mnayatekeleza bila kutafakari
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi[emoji23].

View attachment 2973698View attachment 2973699
Sad reality
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.

View attachment 2973698View attachment 2973699
Acha kutukumbusha machingu jinsi ilivyosambaratishwa na lile dubwana. Kila kitu kilikuwa hakiendi. Sasa hivi mama kamawaga ajira kila kona na watumishi wanaongezewa mishahara kila mwaka
 
Acha kutukumbusha machingu jinsi ilivyosambaratishwa na lile dubwana. Kila kitu kilikuwa hakiendi. Sasa hivi mama kamawaga ajira kila kona na watumishi wanaongezewa mishahara kila mwaka
Acha longolo kura ndio msema yote. Hao watumishi wanaoongezewa mishara kama unavyosema ndio wamepiga kura kwamba Samia hawamuelewi.
 
Sasa kama huna akili na tunakuona,akija kiongozi akakuchana live kwamba acha upuuzi kwanini tusimwone kama ana akili kama zinazojua tunachokitaka!!!

Huyu wa sasa anasema watu wale kwa urefu wa kamba,huo ndio msimamo wa rais yaani.
Ukiambiwa ule kwa urefu wa kamba yako maana yake ni kuiba?
 
Nimeweka data za TRA tena, linganisha full mwaka wa mwisho wa JPM 2019-20 na Samia 2023-24 uone anavyomzidi JPM kwenye ukusanyaji mapato. Ndio nauliza kama JPM alikua anabana mianya, mkali, anakatamata wakwepa na kwamba mama hawezi kuwabana wakwepa kodi, kivipi mapato yanakusanywa zaidi?

Naomba ujibu hili swali
1. Anakusanya kiwango hicho kiko wapi kuakisi mtaani kwa mwananchi wa kawaida?
2. Waliokuwa wanamhuju na kushawishi wawekezaji kuondoka nchini ndio hao unaowapigia chapuo kwamba wameongeza makusanyo ya kodi!!!
3. Makusanyo mengi yasiyo na faida kwa wananchi maana kila leo watendaji wanaziiba na hakuna hatua zozote wanazochukuliwa
4. Wizi umetamalaki kwa sasa kuanzia ukuchani hadi utosini kuliko wakati wowote tangu Tanzania iundwe
5. Hakuna uzalendo kwa sasa
 
Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Alipoingia madarkani alijinadi kwamba yeye hawezi kua mtu wa kudhurumu haki za watu na hataki vitendo vya ki ukwaji wa sheria sasa hichi unachomshauri ni haki?
Nchi hii watu hawana ruhusa ya kusema wanachokifiria lakini pasipo kuvunja sheria.
Huyu mnae mtukuza huku mtaani hakuna anae muelewa huu ndio ukweli ulio wazi.
 
Anakusanya kiwango hicho kiko wapi kuakisi mtaani kwa mwananchi wa kawaida
Hoja ilikua kwamba JPM alizuia mianya ya kukwepa kodi ila mama anacheka cheka ndio nimewauliza mbona mapato yanaongezeka if at all mama kafeli kubana wakwepa kodi?

Kwa kukujibu tu, ni kwamba 70% ya mapato Tanzania yanalipa wagebill na Madeni. So kama unataka uone reflection ya pesa inayotumika angalia ajira alizotoa vs JPM ndio utaona wagebill ilivyo kubwa. Kingine bajeti za kilimo zimeongezwa same to miradi inayoendelea mfano SGR, JNHEP zote hizo interest rate zipo juu so deposits za kulipa mikopo na riba ziko juu na kila mwezi tuna deposit.
2. Waliokuwa wanamhuju na kushawishi wawekezaji kuondoka nchini ndio hao unaowapigia chapuo kwamba wameongeza makusanyo ya kodi!!!
Nani kamhujumu? JPM mwenyewe alikua wazi kwamba mwekezaji haeleweki anamfukuza. Alikataa negotiations za bandari ya Tanga, alikataa mikataba ya gesi lindi, alifutia leseni makampuni ya madini, alifungia Bureau de change, alifungia biashara zisizolipa kodi n.k sasa kama yeye ndio alinyoosha wawekezaji kama Manji hadi wakakimbia nchi kivipi useme alihujumiwa?. Cha ajabu Mama samia ambaye hajatumia mabavu wala kukamata makinikia ndio ameongeza ukusanyaji mapato zaidi ya 30% kuliko JPM!! amewezaje?
 
3. Makusanyo mengi yasiyo na faida kwa wananchi maana kila leo watendaji wanaziiba na hakuna hatua zozote wanazochukuliwa
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?

Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.

Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.

Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.

Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?

Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?

So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
 
4. Wizi umetamalaki kwa sasa kuanzia ukuchani hadi utosini kuliko wakati wowote tangu Tanzania iundwe
Hakuna mwaka hakuna ufisadi hii nchi, niambie ni ripoti gani ya CAG enzi za JPM ilikuta hakuna ufisadi? Nitajie moja tu?. Ni wajinga tu walidanganyana eti hakuna ufisadi enzi za JPM wakati ripoti zipo wazi hata Google unazikuta.
 
Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Reli na treni ya kisasa. Juu ya yote, JPM alizingatia mabadiliko ya tabianchi - treni ya umeme. Na umeme wenyewe kutoka kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere.

View: https://youtu.be/Tfg7GQ2Wl5I?si=ElpHUkWS_GMRqiEU

Umeme wa kumwaga. Mpaka baadhi ya mitambo ya kuzalisha umeme kuzimwa!

View: https://youtu.be/KluCvEitL90?si=qaNl2XzouGAoVvh9

NB: haya ni baadhi ya yanayoendana na matokeo ya hiyo opinion poll.
 
If anything, my take is Phase 4 (17%) = Phase 6 (17%).

Conclusion: The very same Borntown still in charge.
Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.
 
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?

Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.

Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.

Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.

Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?

Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?

So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.
Hakuna sindano ya dawa nzuri, ni maumivu, lakini kwa asilimia kubwa mgonjwa anapona. Kwa maneno mengine JPM alikuwa anashughulikia kiini cha matatizo hayo uliyoyataja!!
 
Back
Top Bottom