Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Amelaaniwa amtegemaye mwandamu marehemuRadhi ya nini sasa, huo ndo ukweli JPM still in heart of people
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amelaaniwa amtegemaye mwandamu marehemuRadhi ya nini sasa, huo ndo ukweli JPM still in heart of people
Kweli kabisa bwasheeGazeti la Kingereza la the Citizen anunue kilaza wa kijijini au mlala hoi kweli? Hao waliopiga kura ni wasomi na wanaojitambua bado wamempigia kura Magufuli kwa wingi! Mkijaribu kuja kwa wala mihogo mtatapa kura asilimia 2% aibu itakuwa kubwa zaidi!
Kwani kuna ugomvi gani unaoujua kati ya Mama na Hayati Magufuli? Kwani haya matokeo ya ewakera sana nyie CHAWA wa mama? Mama ni CCM na Magufuli alikuwa CCM sasa nongwa ya nini?? Tatizo la CHAWA mnafanya kazi kama Roboti, maelekezo ya Wazuri Hawafagi mnayatekeleza bila kutafakariMhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Unatetea nini wewe mbwiga?Amelaaniwa amtegemaye mwandamu marehemu
Sad realityGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi[emoji23].
View attachment 2973698View attachment 2973699
Acha kutukumbusha machingu jinsi ilivyosambaratishwa na lile dubwana. Kila kitu kilikuwa hakiendi. Sasa hivi mama kamawaga ajira kila kona na watumishi wanaongezewa mishahara kila mwakaGazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikuwa sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Acha longolo kura ndio msema yote. Hao watumishi wanaoongezewa mishara kama unavyosema ndio wamepiga kura kwamba Samia hawamuelewi.Acha kutukumbusha machingu jinsi ilivyosambaratishwa na lile dubwana. Kila kitu kilikuwa hakiendi. Sasa hivi mama kamawaga ajira kila kona na watumishi wanaongezewa mishahara kila mwaka
Umekuwa Lukasi Mwashambwa? 😁Nimebubujikwa na Machozi!
Ukiambiwa ule kwa urefu wa kamba yako maana yake ni kuiba?Sasa kama huna akili na tunakuona,akija kiongozi akakuchana live kwamba acha upuuzi kwanini tusimwone kama ana akili kama zinazojua tunachokitaka!!!
Huyu wa sasa anasema watu wale kwa urefu wa kamba,huo ndio msimamo wa rais yaani.
Sijasema ni kuiba,kwani nani kaiba si kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake???Ukiambiwa ule kwa urefu wa kamba yako maana yake ni kuiba?
Possibly siku hizi wanaweza lifikia hata gazet la the CitizenWaliopiga kura itakuwa wanyonge walalahoi wala mihogo tu
1. Anakusanya kiwango hicho kiko wapi kuakisi mtaani kwa mwananchi wa kawaida?Nimeweka data za TRA tena, linganisha full mwaka wa mwisho wa JPM 2019-20 na Samia 2023-24 uone anavyomzidi JPM kwenye ukusanyaji mapato. Ndio nauliza kama JPM alikua anabana mianya, mkali, anakatamata wakwepa na kwamba mama hawezi kuwabana wakwepa kodi, kivipi mapato yanakusanywa zaidi?
Naomba ujibu hili swali
Alipoingia madarkani alijinadi kwamba yeye hawezi kua mtu wa kudhurumu haki za watu na hataki vitendo vya ki ukwaji wa sheria sasa hichi unachomshauri ni haki?Mhariri wa hilo gazeti la kipumbavu afunguliwe mashtaka. Anatumia uhuru wake kijinga.
Hoja ilikua kwamba JPM alizuia mianya ya kukwepa kodi ila mama anacheka cheka ndio nimewauliza mbona mapato yanaongezeka if at all mama kafeli kubana wakwepa kodi?Anakusanya kiwango hicho kiko wapi kuakisi mtaani kwa mwananchi wa kawaida
Nani kamhujumu? JPM mwenyewe alikua wazi kwamba mwekezaji haeleweki anamfukuza. Alikataa negotiations za bandari ya Tanga, alikataa mikataba ya gesi lindi, alifutia leseni makampuni ya madini, alifungia Bureau de change, alifungia biashara zisizolipa kodi n.k sasa kama yeye ndio alinyoosha wawekezaji kama Manji hadi wakakimbia nchi kivipi useme alihujumiwa?. Cha ajabu Mama samia ambaye hajatumia mabavu wala kukamata makinikia ndio ameongeza ukusanyaji mapato zaidi ya 30% kuliko JPM!! amewezaje?2. Waliokuwa wanamhuju na kushawishi wawekezaji kuondoka nchini ndio hao unaowapigia chapuo kwamba wameongeza makusanyo ya kodi!!!
Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?3. Makusanyo mengi yasiyo na faida kwa wananchi maana kila leo watendaji wanaziiba na hakuna hatua zozote wanazochukuliwa
Hakuna mwaka hakuna ufisadi hii nchi, niambie ni ripoti gani ya CAG enzi za JPM ilikuta hakuna ufisadi? Nitajie moja tu?. Ni wajinga tu walidanganyana eti hakuna ufisadi enzi za JPM wakati ripoti zipo wazi hata Google unazikuta.4. Wizi umetamalaki kwa sasa kuanzia ukuchani hadi utosini kuliko wakati wowote tangu Tanzania iundwe
Reli na treni ya kisasa. Juu ya yote, JPM alizingatia mabadiliko ya tabianchi - treni ya umeme. Na umeme wenyewe kutoka kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere.Magufuli huwezi kumpiga kijinga kijinga mbele za watu ukabaki salama! Marais wote wameangukia pua mbele ya Magufuli! Samia mwenyewe licha ya makelele ya machawa bado kapigwa chini!
Ukijumlisha 17 za awamu ya nne na 17 za awamu ya sita bado hazimfikii Jiwe duh. Wamefanya vizuri kuomba msamaha wanatakiwa wasiwe wanaliweka jina la Jpm kwenye kushindanisha kwasababu hakuna siku watamshinda.If anything, my take is Phase 4 (17%) = Phase 6 (17%).
Conclusion: The very same Borntown still in charge.
Hakuna sindano ya dawa nzuri, ni maumivu, lakini kwa asilimia kubwa mgonjwa anapona. Kwa maneno mengine JPM alikuwa anashughulikia kiini cha matatizo hayo uliyoyataja!!Makusanyo ya JPM yalikua na faida gani? Maana miradi yote ilijengwa kwa mikopo, hakutoa ajira, hakupandisha mishahara, sasa hizo pesa alizobania matumizi alizitumia wapi? Mbona Mama anaspend kuliko JPM na bado anaajiri, kuongeza mishahara, miradi analipa madeni n.k!! Amewezaje?
Kuhusu ufisadi tokea enzi za JPM CCM walikua wanaiba na hakuna hatua zilichukuliwa. Mfano ACACIA walitupa loss ya Trillion 400+ ila bado walipewa hisa 84%, waliruhusiwa kusafirisha makinikia na kesi zote tulizowafungulia tulifuta.
Mwanyika yule VP wa ACACIA alikua na kesi ya uhujumu uchumi ya zaidi ya 2B ila sio tu aliachiwa ila alipewa ubunge na JPM!! same to Nchambi alikamatwa na nyara za serikali na bunduki za ujangili ila aliachiwa na aliendelea na ubunge.
Bashiru naye alikagua mali za CCM akagundua ufisadi wa kutisha ila JPM na ubabe wote ule hakuwahi mchukulia hatua hata mmoja!! Zaidi alibembeleza walioba warudishe kwa hiari.
Ripoti ya CAG tokea 2015/16 zimekua zikitaja mafisadi kila mwaka cha ajabu CAG alipotaka kukagua manunuzi ya ndege na SGR akaondolewa kazini!! Sasa kama JPM alikua na nia ya kuzuia wizi why azuie CAG asikague TGFA?
Haya kuelekea uchaguzi wa 2020, JPM alituma TAKUKURU kuchunguza watoa rushwa kura za maoni. Cha ajabu ile ripoti sio tu ilifanywa siri ila waliotoa rushwa hawakupelekwa mahakamani zaidi ya kukatwa tu kinyume na sheria iliyoanzisha TAKUKURU. Yaani mtu anatoa rushwa adhabu yake ni kunyima tiketi ya kugombea na sio jela tena?
So kama issue ni kuchukua hatua JPM alikua anatumia makamera tu kufoka ila kiuhalisia majizi kibao aliyachekea. Hata wale waliokamatwa kwa kesi za uhujumu uchumi kuanzia Seth, Ruge sijui hakuna aliyekutwa na hatia mpaka leo. So huwa nashangaa wafuasi wake mnavyompamba kuwa alikua na maamuzi magumu sijui anachukua hatua.