Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia?
Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini.
Jumamosi ameamka vizuri akajiandaa kwenda shuleni (wanafanya mitihani kila jmos)kuulizwa maumivu akasema nikidogo akapewa dawa yamaumu akameza akaondoka.
Huku nyuma tukanunua dawa yakuchua alivyorudi tukamchua bas akaendelea kupumzika pamoja na root ndogo ndogo zadukani,
Lkn jumapili tukaona anazidi kuburuza miguu anatembea kwa shida bas muda mwingi akawa ndani tu.
Jumatatu akaamka akawa anashindwa kabisa kutembea yn anatembea kwa kujishikilia ukutani anasema anapata maumivu makali sana kwene nyonga tukampeleka hsptl akapigwa exray yamiguu yote pamoja na nyonga lkn majibu yakaja kuwa hakunamvunjiko wamoja kwa moja unnaonekana wakamchukua damu kwa vipimo vingine lakini pia hawajaona shida wakatupatia vidonge vyamaumivu tu kua aendelee kutumia pamoja naile dawa yakuchua atakuwa sawa,
Hadi Jumatano mtoto hali inazidi kuwa nbaya sasa miguu yote hawezi kusimama, kutembea wala kuitikisa yan hata kuisogeza mpaka aisapoti kwa mikono, ikabidi twende hsptl nyingine nayo wakampiga exray zamiguu na nyonga wakasema hivyo hivyo kuwa hawaoni mvunjiko wowote labda ninyama tu kikubwa apumzike muda mwingi wakatupatia vidonge vya maumivu na dawa ya kuchua lkn hadi leo mtoto bado hakuna unafuu wowote na usiku akilala huwa analalamika maumivu makali juzi ilibidi tuite nesi akamchoma sindano yamaumivu akalala vizuri najana akashinda vzr bila maumivu ila miguu ndo ipo totaly disable niwakubeba nakusogeza kwakila alitendalo kufika usiku muda wakulala maumivu yakaanza upya nesi akaja akamchoma sindano lkn jana pamoja nakuchomwa sindano yamaumivu aliendelea kugugumia maumivu usiku kucha usingizi niwamang'amng'am yn akisinzia kidogo anaamka anagugumia maumivu,
Amekuja kuupata usingizi mzuri sa10 hapo ndo amelala hadi sambili bila kushtuka na ameamka bila maumivu lkn bado miguu haifanyi chochote naukijaribu hata kumsimamisha anapiga yowe kwa maumivu makali anayoyapata kwene nyonga.
NIMEKUJA KWENU WAKUU MNISHAURI NIFANYE NINI KUMUOKOA MWANANGU nahofia mwanangu asije akapata ulemavu wakudumu(Eeh Mungu aepushie mbali).