Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tiba ya hivi inafanyika vipi?Njoo Lushoto Kuna vitu vingine huwezi kuvitibu kwa njia za kawaida tulizozizoea njoo Dm nkupe namba
Pia mfanye maombiNibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini.
Jumamosi ameamka vzr akajiandaa kwenda shuleni(wanafanya mitihani kila jmos)kuulizwa maumivu akasema nikidogo akapewa dawa yamaumu akameza akaondoka.
Huku nyuma tukanunua dawa yakuchua alivyorudi tukamchua bas akaendelea kupumzika pamoja na root ndogo ndogo zadukani,
Lkn jumapili tukaona anazidi kuburuza miguu anatembea kwa shida bas muda mwingi akawa ndani tu.
Jumatatu akaamka akawa anashindwa kabisa kutembea yn anatembea kwa kujishikilia ukutani anasema anapata maumivu makali sana kwene nyonga tukampeleka hsptl akapigwa exray yamiguu yote pamoja na nyonga lkn majibu yakaja kuwa hakunamvunjiko wamoja kwa moja unnaonekana wakamchukua damu kwa vipimo vingine lkn pia hawajaona shida wakatupatia vidonge vyamaumivu tu kua aendelee kutumia pamoja naile dawa yakuchua atakuwa sawa,
Hadi Jumatano mtoto hali inazidi kuwa nbaya sasa miguu yote hawezi kusimama,kutembea wala kuitikisa yan hata kuisogeza mpaka aisapoti kwa mikono, ikabidi twende hsptl nyingine nayo wakampiga exray zamiguu na nyonga wakasema hivyo hivyo kuwa hawaoni mvunjiko wowote labda ninyama tu kikubwa apumzike muda mwingi wakatupatia vidonge vya maumivu na dawa ya kuchua lkn hadi leo mtoto bado hakuna unafuu wowote na usiku akilala huwa analalamika maumivu makali juzi ilibidi tuite nesi akamchoma sindano yamaumivu akalala vzr najana akashinda vzr bila maumivu ila miguu ndo ipo totaly disable niwakubeba nakusogeza kwakila alitendalo kufika usiku muda wakulala maumivu yakaanza upya nesi akaja akamchoma sindano lkn jana pamoja nakuchomwa sindano yamaumivu aliendelea kugugumia maumivu usiku kucha usingizi niwamang'amng'am yn akisinzia kidogo anaamka anagugumia maumivu,
Amekuja kuupata usingizi mzuri sa10 hapo ndo amelala hadi sambili bila kushtuka na ameamka bila maumivu lkn bado miguu haifanyi chochote naukijaribu hata kumsimamisha anapiga yowe kwa maumivu makali anayoyapata kwene nyonga.
NIMEKUJA KWENU WAKUU MNISHAURI NIFANYE NINI KUMUOKOA MWANANGU nahofia mwanangu asije akapata ulemavu wakudumu(Eeh Mungu aepushie mbali)
Tayari nimemfanyia kipimo cha CT scan hakuna tatizo lililoonekana ,nimeshauriwa kumove foward kwa ajili yakipimo cha MRITusubiri mrejesho jumatatu MRI na CT scan nadhani tunaweza pata pa kuanzia achana na mambo ya kuwaza kulogwa kuna mda
akili inabidi itumike
Asante mku tunaendelea kumpambania..naye kama siku 6 ivi alikuwa hapati choo kikubwa lkn kwasasa anapata choo vzrPole sana mkuu....
Ilitokea kwa binti yangu wa miaka 10 pia.
Walicheza sana shuleni, ilikuwa ni Ijumaa, wakawa na mashindano ya kukimbia.
Amerudi jioni akalalamika miguu kuuma, tukamwambia ni huko kukimbia, lala kesho utaamka sawa...
Jumamosi akaamka na maumivu, yukamkanda maji ya moto na kumchua dawa, kadiri muda unavyoenda mtoto anazidi kulalamika, tukampeleka hospital akapewa panadol tu.... Akinywa maumivu yanapungua, yakianza yanakuja makali zaidi. Tukabadilisha hospitali, akapima vipimo vingi, akakutwa na UTI, lakini Dr akahoji kama anapata choo vizuri, mtoto Akasema hakumbuki mara ya mwisho amepata haja kubwa lini... Akapewa dawa na maji mengi.... Baada ya muda akasema apelekwe haja, akajisaidia choo kingi.... Kutoka pale akaanza kupata nafuu, akatembea kidogo kidogo, Dr akasema shida ni kutopata choo vizuri imesababisha mgandamizo kwenye mishipa ya fahamu upande wa chini wa mwili.
Nilishangaa, mtoto alikuwa wa kubeba kutoa nje na kupeleka ndani.
Tatizo la mwanao linaweza kuwa zaidi ya huko kuanguka katika kucheza mpira. Mpeleke kwa madakitari bingwa unaweza kupata suluhu ya haraka zaidi mkuu.
Naelewa unayopitia, Mungu ampe nafuu mtoto wetu.
Nibinti wa miaka 10 ijumaa trh 11mar,2022 amerudi toka shuleni sa11 jioni akasema ameanguka akiwa anacheza mpira wamiguu nawavulana shuleni tukamuuliza umeumia? Akasema kidogo nikweli alikua anatembea kama anavuta mguu kwa mbali sana mamaake akamuangalia miguu ipo sawa haina uvimbe wala nini.
Jumamosi ameamka vzr akajiandaa kwenda shuleni(wanafanya mitihani kila jmos)kuulizwa maumivu akasema nikidogo akapewa dawa yamaumu akameza akaondoka.
Huku nyuma tukanunua dawa yakuchua alivyorudi tukamchua bas akaendelea kupumzika pamoja na root ndogo ndogo zadukani,
Lkn jumapili tukaona anazidi kuburuza miguu anatembea kwa shida bas muda mwingi akawa ndani tu.
Jumatatu akaamka akawa anashindwa kabisa kutembea yn anatembea kwa kujishikilia ukutani anasema anapata maumivu makali sana kwene nyonga tukampeleka hsptl akapigwa exray yamiguu yote pamoja na nyonga lkn majibu yakaja kuwa hakunamvunjiko wamoja kwa moja unnaonekana wakamchukua damu kwa vipimo vingine lkn pia hawajaona shida wakatupatia vidonge vyamaumivu tu kua aendelee kutumia pamoja naile dawa yakuchua atakuwa sawa,
Hadi Jumatano mtoto hali inazidi kuwa nbaya sasa miguu yote hawezi kusimama,kutembea wala kuitikisa yan hata kuisogeza mpaka aisapoti kwa mikono, ikabidi twende hsptl nyingine nayo wakampiga exray zamiguu na nyonga wakasema hivyo hivyo kuwa hawaoni mvunjiko wowote labda ninyama tu kikubwa apumzike muda mwingi wakatupatia vidonge vya maumivu na dawa ya kuchua lkn hadi leo mtoto bado hakuna unafuu wowote na usiku akilala huwa analalamika maumivu makali juzi ilibidi tuite nesi akamchoma sindano yamaumivu akalala vzr najana akashinda vzr bila maumivu ila miguu ndo ipo totaly disable niwakubeba nakusogeza kwakila alitendalo kufika usiku muda wakulala maumivu yakaanza upya nesi akaja akamchoma sindano lkn jana pamoja nakuchomwa sindano yamaumivu aliendelea kugugumia maumivu usiku kucha usingizi niwamang'amng'am yn akisinzia kidogo anaamka anagugumia maumivu,
Amekuja kuupata usingizi mzuri sa10 hapo ndo amelala hadi sambili bila kushtuka na ameamka bila maumivu lkn bado miguu haifanyi chochote naukijaribu hata kumsimamisha anapiga yowe kwa maumivu makali anayoyapata kwene nyonga.
NIMEKUJA KWENU WAKUU MNISHAURI NIFANYE NINI KUMUOKOA MWANANGU nahofia mwanangu asije akapata ulemavu wakudumu(Eeh Mungu aepushie mbali)
Polee sana ndugu. Namauombea Mtoto nafuu na suluhusho la ugonjwa lipatikane.Asante mku tunaendelea kumpambania..naye kama siku 6 ivi alikuwa hapati choo kikubwa lkn kwasasa anapata choo vzr

Ndiyo,Moi unaweza kumpeleka mgonjwa direct bila referral?
Hapo kwenye maombi ndiyo unataka kumpoteza. Mwambie ikishindikan hosp za Tanzania ampeleke hosp za nje ya Tanzania, hakuna daktari aliyesomea kutibu kupitia maombi.Pole kwake, halafu pole Sana kwako! Ninaamini Ana shida zaidi ya mpira aliocheza, nashauri aende kwa daktary specially wa mifupa.
Ikishindikana huko pambana a na maombi, na sio Hawa manabii kama Mwamposa, hapana, watu wa kueleweka.
Hapo kwenye maombi ndiyo unataka kumpoteza. Mwambie ikishindikan hosp za Tanzania ampeleke hosp za nje ya Tanzania, hakuna daktari aliyesomea kutibu kupitia maombi.