Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
- Thread starter
- #101
Hospital vipimo havijabaini tatizo lolote,Kaka, tujuze hali ya mtoto tafadhali.
Ulikwenda hospitali?
Vipimo vimeonesha nini?
Ana nafuu yeyote mpaka sasa?
wazee walinitaka nimpeleke kjijini,
Nilifanya hivyo nahadi sasa yupo huko.
Jambo lakushukuru kwasasa unafuu unaonekana,miguu anaweza kuisogeza bila kuisapot kwamikono.amekuwa kama mtoto anaejifunza kusimama nakutembea ila inatia moyo.