Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

Mwanangu amepoteza uwezo wakusimama na kutembea

Waone maspecialist wa mifupa Moi! Nadhani hapo angefanyiwa kipimo cha MRI Lumbar spine.Lakini kama specialist ataona ni muhimu kufanyiwa kipimo hicho!
Anasema alishaponea kijijini so Muhimbili sio hitaji tena
 
Vipi mrejesho ulipata uponyaji?
Kama bado tutiririke hapa. Hakuna shida mpya duniani, zote ni mapito
Kalunya

I adore your faith and the way you stand with GOD words , If this is real u outside keybodys may GOD bless you
 
Mimi huwa mvivu wa kusoma nyuzi zenye page nyingi kama 4+ hivi lakini hii nimekaa na kuisoma page zote 7 inaonekana JF ni platform kubwa sana watu wametoa michango kikubwa nimefurahi kusikia at the end mtoto katibiwa na kupona. Nilichojifunza kuwa siyo kila tatizo lina scientifical answer. India zingine tunazo hapahapa. Pole sana mkuu kwa mitihani uliyopitia mimi nalewa maumivu yake
 
Mungu ni mwema sana Jambo lakusukuru mtoto amepona kabisa anatembea nakukimbia vzr bila shida yoyote na amerudi toka kijijini mwezi huu mwanzoni nasasa anaenda shule kama kawaida.
NAWASHUKURU SANA WANAJF KWA MAWAZO YENU.
kwakweli ulikuwa ni mtiihani mkubwa sana kuupitia kabla.
Ooh jambo la kumshukuru Mungu mkuu.. Poleni sana kwa mapito haya.
 
Back
Top Bottom