Mungu ni mwema sana Jambo lakusukuru mtoto amepona kabisa anatembea nakukimbia vzr bila shida yoyote na amerudi toka kijijini mwezi huu mwanzoni nasasa anaenda shule kama kawaida.
NAWASHUKURU SANA WANAJF KWA MAWAZO YENU.
kwakweli ulikuwa ni mtiihani mkubwa sana kuupitia kabla.