Hizi ni assumption zinaweza kuwa sawa au zisiwe sawa. Wewe umehitimisha kwa assumptions. Hali ya huyo mtoto hukuiona.Huyo Daktari wa mwanzo atakuwa ni CO yeye alivyoona bandama ina shida na michirizi ya kuvilia damu basi akajua ni kipigo. Hajui km Kansa ya damu husababisha vyote hivyo.
Huyo ndio chanzo cha sakata lote hili kwa sababu ya ukihiyo wake. Ndio maana nchi zilizoendelea hakuna kitu kinaitwa CO.
Tatizo la nchi hii ni kuruhusu afya zetu zichezewe hovyo kuanzia na hawa waganga matapeli wa tiba mbadala, wauza maduka ya dawa na hawa maCO.
Wewe umepewa mlungula upindishe maelezo mimba yenyew haitokei gafla iwe michirizi ndo itoke gafla sababu ya sarataniInaweza kutokea ghafla au taratibu kama miongoni mwa dalili za ugonjwa husika. Na yote hiyo hutokana na kupungua sana kwa chembe sahani hivyo kupelekea kuvuja kwa damu chini ya ngozi na misuli ( severe thrombocytopenia)
Unajua una utoto mwingi? Mtoto mwenye kansa hawezi kupigwa kikatili? Tuseme tu alikuwa nayo hiyo kansa, inazuia vipi kupigwa? Hapa tunachojadili ni nini? Madai ya mtoto kupigwa. Umeshathibitisha kuwa mtoto hakupigwa kwa kiwango ambacho si sahihi?Nayafuta kulingana na ripoti ya Madaktari bingwa wabobezi kutoka KCMC waliothibutisha kitaalam kuwa mtoto kafa kutokana na cancer ya damu. Una lolote la kitaalam kupingana na ripoti ya Madaktari?
Unapingana na uhalisia? Unafikir yeye ndio wa kwanza kupata hiyo michirizi ya kuvilia damu kutokana na cancer ya damu?Wewe umepewa mlungula upindishe maelezo mimba yenyew haitokei gafla iwe michirizi ndo itoke gafla sababu ya saratani
Kumbe nalumbana na Idiot aliyeshindakana? Mpaka awe alikufa darasani kwangu? Mimi nimeshuhudia kwa jirani yangu na siyo hilo tu kuna cases nyingi watu wamefungwa kwa sababu ya kuua kwa fimbo.Wewe pia ficha ujinga wako uniambie ni nani alikufa darasani kwako kwa kuchapwa finbo zaidi ya matukio ya kusimuliwa?
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inataka kupindishwa.
Tar.28/02/2024 mwanangu alienda shuleni akiwa mzima. Alipofika aliadhibiwa kwa kuchelewa "namba". Alipoingia darasani alianza kutokwa damu puani na mdomoni. Akarudishwa nyumbani. Nilipomkagua nikamkuta na majeraha yaliyovilia damu mgongoni, kwenye mbavu na mguuni.
Kesho yake nikaenda nae shuleni kutaka kuoneshwa mwalimu aliyemfanyia ukatili mwanangu. Lakini Mwalimu mkuu akaomba nibaki nje. Akaingia na mwanangu ofisi ya walimu na kumtaka amtambue Mwalimu aliyemuadhibu. Mwanangu akamtanbua. Mwalimu Mkuu akaniambia wameshamfahamu ni mwalimu wa "Field" hivyo atazungumza nae.
Wakanipa 20,000/= za matibabu. Nikampeleka mwanangu zahanati. Kesho yake akazidi kutoka damu, na kulalamikia maumivu sehemu za mbavu. Nikampeleka hospitali ya masista. Daktari akaniambia bandama imejeruhika ndio sababu ya kutoka damu mdomoni. Mtoto alidai pamoja na viboko alivyochapwa, Mwalimu pia alimpiga ngumi tumboni. Huenda ndiyo iliyopasua bandama.
Hali yake ilizidi kuwa mbaya tukapewa rufaa kwenda KCMC. Akatakiwa kufanyiwa upasuaji. Gharama 350,000/= lakini sikuwa nayo. Nikapiga simu shuleni wakasema tuombe afanyiwe halafu watalipa baadae. Hata hivyo kabla hajafanyiwa hali yake ikazidi kuzorota, akashindwa kupumua, akawekwa kwenye Oxygen. Akashindwa kula, akawekewa mpira wa chakula. Baada ya siku chache akafariki 😭.
Lakini ripoti ya hospitali inasema mwanangu amekufa kwa kansa ya damu. Kansa gani ya damu inayomuua mtoto kwa wiki mbili? Na kwanini hiyo kansa itokee baada ya kuadhibiwa shuleni? Kwanini Mwalimu aliyemuadhibu mwanangu anafichwa, na sipewi haki ya kumfahamu?
Nalazimishwa nichukue maiti nikazike lakini nimekataa. Nataka uchunguzi huru. Nimeenda dawati la jinsia kulalamika nikapuuzwa. Nimepiga simu kwa Waziri Dkt. Gwajima D akanipa namba ya mtu wa kunisaidia. Nilipopiga kumbe ni yuleyule Mkuu wa dawati la jinsia aliyenipuuza. Nikamrudia Gwajima akasema niwasiliane nae huyohuyo. Nimekosa pa kulilia haki ya mwanangu Jonathan
Uhasilia gani? Hata hao ma dr wanaweza kuwa walizembea kwenye kuwahi kumtibu na sasa hivi wanasingizia cancer. natakiwa uchunguzi huru ufanywe.U
Unapingana na uhalisia? Unafikir yeye ndio wa kwanza kupata hiyo michirizi ya kuvilia damu kutokana na cancer ya damu?
Pole sana kwa msiba mkubwa kama huu mungu akujalie subila kwenye kipindi kigumu kama hiki
Naitwa Janeth Shayo, mkazi wa Uru, Moshi. Naomba unisaidie kupaza sauti mwanangu Jonathan Makanyaga (07) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi Mrupanga, ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inataka kupindishwa.
Tar.28/02/2024 mwanangu alienda shuleni akiwa mzima. Alipofika aliadhibiwa kwa kuchelewa "namba". Alipoingia darasani alianza kutokwa damu puani na mdomoni. Akarudishwa nyumbani. Nilipomkagua nikamkuta na majeraha yaliyovilia damu mgongoni, kwenye mbavu na mguuni.
Kesho yake nikaenda nae shuleni kutaka kuoneshwa mwalimu aliyemfanyia ukatili mwanangu. Lakini Mwalimu mkuu akaomba nibaki nje. Akaingia na mwanangu ofisi ya walimu na kumtaka amtambue Mwalimu aliyemuadhibu. Mwanangu akamtanbua. Mwalimu Mkuu akaniambia wameshamfahamu ni mwalimu wa "Field" hivyo atazungumza nae.
Wakanipa 20,000/= za matibabu. Nikampeleka mwanangu zahanati. Kesho yake akazidi kutoka damu, na kulalamikia maumivu sehemu za mbavu. Nikampeleka hospitali ya masista. Daktari akaniambia bandama imejeruhika ndio sababu ya kutoka damu mdomoni. Mtoto alidai pamoja na viboko alivyochapwa, Mwalimu pia alimpiga ngumi tumboni. Huenda ndiyo iliyopasua bandama.
Hali yake ilizidi kuwa mbaya tukapewa rufaa kwenda KCMC. Akatakiwa kufanyiwa upasuaji. Gharama 350,000/= lakini sikuwa nayo. Nikapiga simu shuleni wakasema tuombe afanyiwe halafu watalipa baadae. Hata hivyo kabla hajafanyiwa hali yake ikazidi kuzorota, akashindwa kupumua, akawekwa kwenye Oxygen. Akashindwa kula, akawekewa mpira wa chakula. Baada ya siku chache akafariki 😭.
Lakini ripoti ya hospitali inasema mwanangu amekufa kwa kansa ya damu. Kansa gani ya damu inayomuua mtoto kwa wiki mbili? Na kwanini hiyo kansa itokee baada ya kuadhibiwa shuleni? Kwanini Mwalimu aliyemuadhibu mwanangu anafichwa, na sipewi haki ya kumfahamu?
Nalazimishwa nichukue maiti nikazike lakini nimekataa. Nataka uchunguzi huru. Nimeenda dawati la jinsia kulalamika nikapuuzwa. Nimepiga simu kwa Waziri Dkt. Gwajima D akanipa namba ya mtu wa kunisaidia. Nilipopiga kumbe ni yuleyule Mkuu wa dawati la jinsia aliyenipuuza. Nikamrudia Gwajima akasema niwasiliane nae huyohuyo. Nimekosa pa kulilia haki ya mwanangu Jonathan
Bila shaka wewe ni mojawapo ya wale MD wasiojitambua, unamponda CO ambaye Yuko kijijini anatibu ndugu zako na wanapona vizuri tu ila wewe ukipelekwa hospital za Tamisemi unakimbia kwahiyo unataka huko nani akafanye kazi?Huyo Daktari wa mwanzo atakuwa ni CO yeye alivyoona bandama ina shida na michirizi ya kuvilia damu basi akajua ni kipigo. Hajui km Kansa ya damu husababisha vyote hivyo.
Huyo ndio chanzo cha sakata lote hili kwa sababu ya ukihiyo wake. Ndio maana nchi zilizoendelea hakuna kitu kinaitwa CO.
Tatizo la nchi hii ni kuruhusu afya zetu zichezewe hovyo kuanzia na hawa waganga matapeli wa tiba mbadala, wauza maduka ya dawa na hawa maCO.
Unahisiwa vibaya sababu umeignore kabisa madai ya mzazi kuhusu mwanae kupigwa. Hujataka kabisa kujua kuhusu hilo na umesapoti kutokujieleza kwa mwalimu.U
Unapingana na uhalisia? Unafikir yeye ndio wa kwanza kupata hiyo michirizi ya kuvilia damu kutokana na cancer ya damu?
Anachosema huyu ni kuwa marehemu ana kansa, hata kama amepigwa ni sawa tu sababu ana kansa. Huyo aliyempiga asisumbuliwe kuhojiwa iwapo alimpiga kweli bila kujali kwa kiwango gani, mgonjwa kafa na kansa nendeni mkamzike.Bila shaka wewe ni mojawapo ya wale MD wasiojitambua, unamponda CO ambaye Yuko kijijini anatibu ndugu zako na wanapona vizuri tu ila wewe ukipelekwa hospital za Tamisemi unakimbia kwahiyo unataka huko nani akafanye kazi?
Uko kituoni Cha afya umeletewa mgonjwa anatokwa damu puani, mdomoni, amevilia damu, amevimba wengu na dalili zote hizo zimeanza punde tu baada ya kushambuliwa kwahiyo utasema mgonjwa ana kansa sio?
soma vzr maelezo vzr ya mhanga , utaelewa report ya daktari ndo inamnyima haki huyo mwl mkuu au mhusika wa dawati , TUPENDE KUPIMA AFYA ZETUDuuu mkuu pole sana bila shaka Dkt. Gwajima D atakuja hapa kutoa majibu …aisee inauma sana sana yani mwalimu anampiga ngumi mtoto hapa hii haikubalika kabisa kabisa!
Nafikiri kwenye hili Mwl Mkuu anapaswa kuchukuliwa hatua kabisa na huyo mwalimu anapaswa kufikishwa kwenye vyombo vya kisheria hii ni hatari!
Halafu Dkt. Gwajima D unapaswa kutwambia huyo mtumishi wako wa dawati la jinsia anaye lalamikiwa kupuuza watu unapaswa kumuondoa pale hapamfai kabisa!
report ya daktari inasemaj ?Dkt. Gwajima D msaidie mama huyu apate haki yake, juhudi zake zimegonga mwamba...tunaamini unaweza kusukuma ikaende mbele na haki yake kupatikana
Utlist ndo nini?Hatua ya kwanza ya uthibitisho ni huyo mwalimu kusema kilichotokea. Kama suala ni maisha yake kuwa hatarini utlist angekuwa kashikiliwa na polisi ingeeleweka. Tatizo hapa ni huyo mwalimu anayetuhumiwa anafichwa.
Makosa ya kimaandishi. Sahihisha ufurahi.Utlist ndo nini?
Hao viongozi wana majibu ya ovyo hawasikilizi kesi mpaka wapate simu kutoka ikulu. Ngoja draft mpya ya mawaziri itoke wakakae benchi kwanza.Dkt. Gwajima D msaidie mama huyu apate haki yake, juhudi zake zimegonga mwamba...tunaamini unaweza kusukuma ikaende mbele na haki yake kupatikana