macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huu ujinga wa kusema Mungu atatupigania ndiyo imeifikisha Tanzania hapa ilipo. Mungu kakupa akili na mwili ili uvitumie.Haki itendeke eeMungu tupiganie sisi wana wako wa chini tunaonyimwa haki yetu ya msingi na tunapindishiwa haki zetu.
Watu sijui hawana watoto? Yaani wanaropoka tu. Umekaa nyumbani unamsubiri mtoto anakuja na majeraha ya fimbo za mwalimu unaenda shule kuuliza unafichwa fichwa baada ya siku mbili mtoto anafariki mtu anakuambia umwachie MUNGU?Unamfundisha ujinga? Kumuachia Mungu ndiyo nini?
Inaweza kutokea ghafla au taratibu kama miongoni mwa dalili za ugonjwa husika. Na yote hiyo hutokana na kupungua sana kwa chembe sahani hivyo kupelekea kuvuja kwa damu chini ya ngozi na misuli ( severe thrombocytopenia)Inatokea gafla au inaanza taratibu?
Hiyo postmortem inatakiwa ifanyike upya chini ya madaktari wanaoaminika. Hawa kuna uwezekano wamehongwa.DED anahojiwa anakuambia amefuatilia mpaka shuleni kabisa amejiridhisha bila shaka mtoto amefariki kwasababu ya cancer aisee!!
Bado mpe somo huyoUnazijua petechiae, ecchymosis and purpura?
Ngoja nikusaidie picha
View attachment 2935240View attachment 2935239
Wewe kwanini unataka kuamini kuwa kifo chake hakina uhusiano kabisa na kipigo?Kwa kosa gani? Kwann hutaki kuamini kwamba huyo mtoto amefariki kwa sababu ya Kansa ya damu?
Aisee wewe ni mpumbavu wa siku ya leo. Kwa sababu wewe ulichapwa kama punda na hukufa basi viboko haviui? Unatania au umelewa? Ni mara yako ya kwanza kusikia mtu kafa kwa viboko, tena kiboko kimoja tu? Ficha ununda wako.Kama ripoti ya Daktari inaonesha mwanao alikuwa na Kansa ya Damu ( dalili zote unazoelezea zinaendana) kwanini unalazimisha ionekane Mwalimu ndio kamuua mwanao?
Kuchapwa viboko kungekuwa kunaua tungeshakufa wengi sana tuliosoma zamani. Mnataka kutengeneza kizazi gani cha watoto wasiochapwa?
Kwanini mnataka kuleta malezi ya Kizungu watoto wa Kitanzania wenye mazingira na tamaduni tofauti katika malezi na makuzi?
All in all may His Soul Rest in Eternal Peace. Amen. Kuendeleza hii kesi ni kumkosea Marehemu kwa kulazimisha kitu kisichokuwepo.
Hapa watetezi wa huyo mwalimu hawapahoji, wanakomaa na ripoti ya mwisho ya kansa kama chanzo cha kifo.Hospitali zetu nazo, mtoto akifikishwa hospitali na majeraha yanayoashiria unyanyasaji wa aina yoyote wanapaswa kuwaita polisi mara moja.
Mimi naamini zaidi maelezo ya Daktari nikilinganisha na dalili za ugonjwa naona kabisa vinashabihianaWewe kwanini unataka kuamini kuwa kifo chake hakina uhusiano kabisa na kipigo?
Wewe ulikuwepo? Msipende kutoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja tuDED alifuatwa kuulizwa na mwandishi wa habari anajibu simple tu. " mtoto amekufa kwasababu ya cancer" pumbafu kabisa yaani hii nchi Ina viongozi wa ovyo mpaka unashangaa Huwa wanateuliwa kwa vigezo Gani?
Kwa hiyo hilo suala la majeraha na madai ya mtoto kupigwa kikatili unayafuta sababu kansa huwa inapelekea kuvuja damu?Mimi naamini zaidi maelezo ya Daktari nikilinganisha na dalili za ugonjwa naona kabisa vinashabihiana
Huyo Daktari wa mwanzo atakuwa ni CO yeye alivyoona bandama ina shida na michirizi ya kuvilia damu basi akajua ni kipigo. Hajui km Kansa ya damu husababisha vyote hivyo.Siku aliyorudi na majeraha ilitakiwa ukachukue pf 3 polisi daktari aliesema bandama imepasuka angeijaza na ingekua ushahidi wa awali alafu ndo ungeendelea na mambo mengine sahivi baada ya kufariki dokta akifanya Postmortem akisema kafa kwa kansa ya damu hiyo ndo ripoti itakayokubalika.
Hatua ya kwanza ya uthibitisho ni huyo mwalimu kusema kilichotokea. Kama suala ni maisha yake kuwa hatarini utlist angekuwa kashikiliwa na polisi ingeeleweka. Tatizo hapa ni huyo mwalimu anayetuhumiwa anafichwa.Mmh ! Uthibitisho wa hyo ngumi alopgwa dogo ndo italeta uzito kwen jambo lako vingnevyo..Pole kwa msiba
Wewe pia ficha ujinga wako uniambie ni nani alikufa darasani kwako kwa kuchapwa finbo zaidi ya matukio ya kusimuliwa?Aisee wewe ni mpumbavu wa siku ya leo. Kwa sababu wewe ulichapwa kama punda na hukufa basi viboko haviui? Unatania au umelewa? Ni mara yako ya kwanza kusikia mtu kafa kwa viboko, tena kiboko kimoja tu? Ficha ununda wako.
Nayafuta kulingana na ripoti ya Madaktari bingwa wabobezi kutoka KCMC waliothibutisha kitaalam kuwa mtoto kafa kutokana na cancer ya damu. Una lolote la kitaalam kupingana na ripoti ya Madaktari?Kwa hiyo hilo suala la majeraha na madai ya mtoto kupigwa kikatili unayafuta sababu kansa huwa inapelekea kuvuja damu?
Unayafuta bila kumsikia mtuhumiwa? Unayafuta bila kujua mtoto alipokelewa na daktari akiwa kweli na majeraha au la? Unayafuta bila kufikiri iwapo mtoto alikuwa na majeraha kwanini daktari hakuhusisha polisi?
Wewe ndo huyo mwalimu mkuu nini?