Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kwahiyo wewe huogopi wafu? Unaweza kuikumbatia maiti ukalala nayo wewe na mkafunika shuka moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dead body knows nothingInaonesha mwanao amekuzidi imani na upeo wa akili.
1) Amekuzidi imani kwasababu hakuna kiumbe kisichoogopa kifo na wafu. Hata mitume iliogopa kifo sambamba na kuogopa wafu na madhambi yao walioyatanguliza mbele kwa muumba wao.
Na mtu akifa, kitabu chake cha hesabu cha maombi yake binafsi hufungwa rasmi, kwamba hawezi kujiombea hata msamaha kwa muumba wake (Isipokua sadaka/maombi ya kuendelea alizoacha au anazofanyiwa, na dhambi za kuendelea alizoacha - mfano Kama aliacha danguro basi kila dhambi zinazotendeka humo ana asilimia zake huko anakoenda n.k).
2) Amekuzidi upeo wa akili kwasababu mtu mwenye akili ya kawaida wafu ni kitu kisicho ogopeka na kisichokua na madhara. Ila hakika, kwa mtu mwenye upeo mkubwa wa akili mfu ni kitu cha kuogopwa sana kwasababu huwa kinaambatana na mambo mengi tusioyaona kwa macho ya kawaida. Na pia watu wabaya hutumia wafu au vitu vilivyotumika kumuandaa mfu kufanyia mambo mabaya sana, kama vile uchawi na ulozi.
Huyo mtoto ni mwema, mpende na mlinde sana.
Mortui vivos docentDead body knows nothing